Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

Kicheche mkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
290
Reaction score
265
🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO!

Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu.

Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa.

Walls zinaisha… wanatafuta tena.

Roofing… tena wanatafuta pesa

Plaster, milango, madirisha, tiles, ceiling, painting, electrical, plumbing na finishing nyingine… bado!

❌ Tatizo sio kuanza kujenga kwa awamu.

🚨 Tatizo ni kuanza kutumia pesa bila kujua picha nzima ya gharama....

Kabla hujaanza ujenzi, unatakiwa ujue:

✅ Unajenga nyumba ya ukubwa gani?
✅ Materials gani zitatumika?
✅ Quantities zake ni kiasi gani?
✅ Gharama za labour ni kiasi gani?
✅ Finishing unayotaka ni ya kiwango gani?
✅ Bajeti yako itagawanywaje kwa hatua?

BOQ na mchanganuo wa gharama vinakusaidia kuona picha ya ujenzi kabla hujaanza kutumia pesa.

Usijenge kwa kusema, “Nikifika huko nitajua.”

🔥 PANGA UJENZI KWANZA, HALAFU ANZA KUTUMIA PESA.

SWALI: Wewe ungependa kujua kwanza gharama ya FOUNDATION au gharama ya NYUMBA HADI FINISHING? 👇

KELVIN HK BUILDERS

THE FINISHING MASTER
Tunajenga kwa UBORA.

📞 Call & WhatsApp: 0789005562 / 0765005562

Nicheki Whatsapp 👇👇

Jiunge na group letu upate update kila siku
 
Mkuu uko sahihi lakini 85% ya waliojenga hawakufuta hii ramani yako nikiwemo mimi.
 
We unamilik nyumba ngapi ukiacha kufanya kaz hapo ofisn kwenu mshahara 200k?
 
1000067007.jpg
 
🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO!

Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu.

Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa.

Walls zinaisha… wanatafuta tena.

Roofing… tena wanatafuta pesa

Plaster, milango, madirisha, tiles, ceiling, painting, electrical, plumbing na finishing nyingine… bado!

❌ Tatizo sio kuanza kujenga kwa awamu.

🚨 Tatizo ni kuanza kutumia pesa bila kujua picha nzima ya gharama....

Kabla hujaanza ujenzi, unatakiwa ujue:

✅ Unajenga nyumba ya ukubwa gani?
✅ Materials gani zitatumika?
✅ Quantities zake ni kiasi gani?
✅ Gharama za labour ni kiasi gani?
✅ Finishing unayotaka ni ya kiwango gani?
✅ Bajeti yako itagawanywaje kwa hatua?

BOQ na mchanganuo wa gharama vinakusaidia kuona picha ya ujenzi kabla hujaanza kutumia pesa.

Usijenge kwa kusema, “Nikifika huko nitajua.”

🔥 PANGA UJENZI KWANZA, HALAFU ANZA KUTUMIA PESA.

SWALI: Wewe ungependa kujua kwanza gharama ya FOUNDATION au gharama ya NYUMBA HADI FINISHING? 👇

KELVIN HK BUILDERS

THE FINISHING MASTER
Tunajenga kwa UBORA.

📞 Call & WhatsApp: 0789005562 / 0765005562

Nicheki Whatsapp 👇👇

Jiunge na group letu upate update kila siku
Nyie na maneno mengi ndo mnafanya watu wasijenge kwa sababu kwa huo mtiririko wako unahitaji pesa nyingi kwa mara moja hivyo kwa vipato duni vya wananchi wengi si rahisi kupata pesa nyingi kwa mara moja. Hivyo ujenzi ni suala endelevu unajenga kila riziki inapokuangukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom