Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

Hujielewi kakwambia bus linakupeleka kwa lazima we unasema ajaribu kwingine kivipi na hotel ni moja hiyo hiyo.

Hizi hotel zitofautishe chakula cha watalii / wenye pesa zao na watu wa kawaida ,kama vipi watenge VIP na kawaida ili kutoumiza watu maana unajikuta tu bus limesimama hapo
Beba vyakula vyako toka Tandale kwa tumbo
 
Fast Jet beer ya kopo She 5000.soda 2000 .sambusa 3000.Ukiwa nchini USA wali kitimoto USD 15 beer moja USD 7.Kenya KSH 250.hapo ni mombo tu mnalalamika je nchi Nyingine mtalalamika
 
60d5b6ff98c6ff25a7e5d5fd87af87b7.jpg

Next time ukisafiri fanya hivi...
 
Miji ya wanaume usipende kujakuja,
Huku sio Chatto.

Huku wanaishi mabepari, yani Watu wenye pesaa
 
Sioni kipya hapo, ni mbinu tu ya kuleta tangazo la biashara.

Hizo bei zipo hivyo kwa muda mrefu sasa, na hiyo hoteli sio mpya ni kongwe tu mbona.
 
Pale Kwa mwarabu jirani na mombo bei yako nzuri sana.ile hotel mpya kutota mombo unaelekea korogwe.chakula chao kizuri pia.tatizo magari yanayosimama hapo ni machache kama Osaka.tahmed.shambalai ni.naenjoy sana menyu yao
 
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg
Mkuu mim kuna siku nilipita pale blue parrot sasa nkamwambia mhudumu anipe chips bhna,,,Duh mzee nlipewa chips pieces zinazohesabika af kwa bei kubwa kwakwel yule jamaa nlimtoleaa uvivu.nkamuliza tu kwa ustarab "ivi unadhani huduma yako na fedha nlokupa kuna uwiyno?"jamaaa katulia kimya nkamwambia sishindwi kurudsha kwakwel nlirudishaa nkapita zang hivi nkagonga tunda zang nkapita kushoto,my intake.tusiwaogope hawa watu tuwambien ukweli wanatunyonyaaaaaaa
 
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg

tatizo hata risiti za EFD hawatoi...

Kuku 2000/= + chips 2000/= Reasonable Price Wafanye Hata Jumla 5000/= Not 7000/=
 
JF raha sana....wengine wanalia msosi wa 7000/- ghali wengine wanashangaa wanalialia nini 7000/- bei ya kawaida tu.
 
JF raha sana....wengine wanalia msosi wa 7000/- ghali wengine wanashangaa wanalialia nini 7000/- bei ya kawaida tu.
Mkuu hii manake ukiwa nacho kitumie ukikosa kujutie. Binafsi kula msosi mzuri wenye ladha na mahali safi ndio starehe yangu. Kama nina pesa wala sivungi misosi mitamu hata bei huwa siangalii. Kwanza msosi less than 10k najua huo mbovu kabisa. Kwanza msosi huwa siulizi bei ila natest ladha yake yake na usafi. Hata usafiri huwa natafuta basi luxury lenye nauli ya juu kuliko zote ndio napanda. Kwa michango ya mada hii ndio utajua kuwa vipato havilingani hivyo kila mtu apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom