Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

p
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg
panda mabasi yasiyosimama pale ukale chakula kilichochacha
 
Unanunua juice yako na vibashite vyako mfuko mmoja basis kimyaaa we wamumunya tu
 
Hujielewi kakwambia bus linakupeleka kwa lazima we unasema ajaribu kwingine kivipi na hotel ni moja hiyo hiyo.

Hizi hotel zitofautishe chakula cha watalii / wenye pesa zao na watu wa kawaida ,kama vipi watenge VIP na kawaida ili kutoumiza watu maana unajikuta tu bus limesimama hapo
Mkuu umenifurahisha ulivyosema basi linakupeleka kwa lazima,hahahahahahaha
 
Dharula kama misiba havina kupanga bajeti. Wapange bei affordable!
Ni kweli,ila ukiona haupo vizuri panda basi la kawaida,income yako ndio inaku allocate upande basi gani,panda gari la kawaida ambapo utapata chakula cha 2000,mbona yapo mengi tu.
 
Ni kweli,ila ukiona haupo vizuri panda basi la kawaida,income yako ndio inaku allocate upande basi gani,panda gari la kawaida ambapo utapata chakula cha 2000,mbona yapo mengi tu.
Ushauri wako naufanyia kazi ila uwaambie madereva wasitupeleke kwenye hotels kwa kutung'ang'aniza ili wapate posho.
 
Inafurahisha kuona wa Tanzania wengi wanamaisha mazuri na kuona hizo bei ni rafiki mbaya zaidi ni ndogo mimi nakulaga hapo bei zao hapana mbaya zaidi hivo vichipsi duu inabidi ununue mara mbili
 
Humu nimechoka kuna Siku nilikua nasafiri kufika pale nikashuka sivungi chipsi nyama ,juice na maji tayari 10 imeisha duh .

Kwa kweli iliniuma ghafla 10 sasa ukiwa na familia itakuaje hapo ? Lunch itakua 40 kama ni watu wanne.

Kuna kijana alikua pembeni Yangu hapo bei kaishindwa akawa anashangaa tu pale roho ikaniuma zaidi kwamba huyu anasafiria KLM luxury B ila hana hela ya kula lunch .

Maisha yanebana sana hawa watu wabadili hizi bei zao maana kusafiri sio kutalii haya mambo yaangaliwe upya .
 
Mkuu kwani unakula kila siku? Angalia ubora na usafi pia yaelekea mgeni njia iyo next time fungasha vyakula ukifika pale unawakomoa kwa kutonunua chochote
 
Naam, bei yapo ipo juu kutokana na ubora pamoja na uhakika wa vyakula vyao.

Mimi huwa nikipita pale nakula huku najiamini kabisa. Nachukua Coupon yangu ya kule kwenye vyakula mchanganyiko, napiga pyuu alafu napanda kwa gari kupumzika. Sina wasiwasi kabisa...

Kama KILIMANJARO MOTORWAY FAST FOOD ni ghali, jaribu kwingine.
How can you compare their quality with others. Their is so poor hata mama ntilie vyakula vyao ni bora kulinganisha na wao
 
Bora nile msosi Mombo 10000 kuliko kula singida/bahi/manyoni (dar-mwanza) 5000.
mkuu ubora na usafi kwa msafiri ni kipaumbele namba moja .
Maana hauwezi kuvumiliwa kuchimba dawa zaidi ya mara sita kisa tumbo linakuuma unahara...
Umenena vyema mkuu, moja ya njia zenye hotel hooovyo kwa tz ni njia ya kanda ya ziwa,wachafu vyakula vimepoa,sometimes vya juzi,nalazimika kula biskut siku zote
 
Sio wote wanapanda magari au mabasi ya Kilimanjaro Express eti wana pesa au ni watu wa uchumi wa kati ...Hapana

Wengi tu wanapanda hizo bus na pale hotelini hanapiga deshi tu.zaidi ya kushuka na kwenda msalani na kununua vitafunio tu.

Ninamashaka kuwa huduma inaweza kuwa amechukua MTU wa kati na si mliki mwenyewe wa mabasi ya Kilimanjaro na kuletelea bei za Chakula kuwa juu.
 
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg

Mi nikisafiri naweka msosi wangu kwenye hotpot toka nyumbani nikifika hapo nafunua hotpot napiga msosi.
 
Mbona mandhari yako poa! Wewe ulitaka wauze sawa na kajamba nani? By the way hulazimishwi kula hapo, unaweza kuwa take away ya kutoka homeni kwako! Hiyo bei ni sahihi!
 
Back
Top Bottom