Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

Naam, bei yapo ipo juu kutokana na ubora pamoja na uhakika wa vyakula vyao.

Mimi huwa nikipita pale nakula huku najiamini kabisa. Nachukua Coupon yangu ya kule kwenye vyakula mchanganyiko, napiga pyuu alafu napanda kwa gari kupumzika. Sina wasiwasi kabisa...

Kama KILIMANJARO MOTORWAY FAST FOOD ni ghali, jaribu kwingine.

Ni hali imekuwa mbaya tu, bei za kawaida sana kwa wasafiri wanaohitaji chakula kisadi na mazingira mazuri
 
Inakera sana. Hii sio kwa ubora Wa chakula wala ubora Wa hotel Bali ni wizi na unyonyaji Wa wazi kwa wasafiri. Juzi tumepelekwa pale Liverpool napo ni vituko, kaportion ka nyama 6000 ni finyango tano!!!
 
Sehemu za fast food huko njiani unapokuwa safarini huwa ni bei usitegeme utauziwa bei za wapemba wa mjini hku

Ova
Tukiendeleea kuwa ja wananchi wenyewe Vichwa Mgando na Kuwaza kila Anachokifanya na kupangiwa na Binadamu mwenzanke ni sawa pasi kua na Uwezo wa Kuuliza Basi Tutabaki kama Tulivyo Milele.
 
Naam, bei yapo ipo juu kutokana na ubora pamoja na uhakika wa vyakula vyao.

Mimi huwa nikipita pale nakula huku najiamini kabisa. Nachukua Coupon yangu ya kule kwenye vyakula mchanganyiko, napiga pyuu alafu napanda kwa gari kupumzika. Sina wasiwasi kabisa...

Kama KILIMANJARO MOTORWAY FAST FOOD ni ghali, jaribu kwingine.
Hapa ndipo utagundua wengi watukanaji humu wa serikali ni mamangi
 
Weweeeee watu wa kule hatulalamiki kwanza tunaona kama tunawapunja hela,,,ndio njia pekee yenye hotel na chakula cha uhakika kuliko sehem zote tanzania,,halaf ndio sehem inapata wasafiri wengi kuliko sehem zote tanzania kwa siku moja,na ni sehem yenye usafiri mzur kulko sehem zote tanzania,,na uzur zaid december tunamalizaga kila kitu tunakuja kuanza kuwaibia upya january,,so chakula hatujali sana kwanza ni ubora tofauti na mataputapu mikoa mingine... Elfu 7 unaona hatar wakat tunatakiwa tutoe cha ten.... Aaaaaaahhhhhggggg
 
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg
Sante kwa kutujuza hata hayo magari ndo kichocheo si lazima kwenda nayo stop over zipo nyingi dawa ni kukemea madereva wa waambie madalali wao
 
Kiukweli jamaa wana chakula safi sana na bei yao ni reasonable kabisa safiri kutoka dar kwenda mwanza au kahama au tabora fika singida kile chakula cha buku 5 ni kibovu sana hata izo chips kuku nazo taabu tupu
Au kwenda mbeya fika pale karibu na kitonga ununue chakula afu linganisha na kile cha kilimanjaro fast food ndo utajua
Alafu Hebu safiri mara kwa mara utajua kuwa jamaa wako vizuri


Mwisho kabisa tusipangiane hivi bei ya chakula sokoni ikoje

Kilimanjaro piga kazi
 
Aisee mm wamenipiga nilikuwa napita juzi hapa nlijuta sana nkasema hii sio chi nashukuru kwa kunena haya wananyanyasa kinoma,mm sijala aisee nmekula chungwa moja na parachichi nmelipa 1200
 
Back
Top Bottom