Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

Ni vyema suala la chakula kwa wasafiri iwe kwenye vituo vikuu vya mabasi ili kila abiria awe na uhuru wa kuchagua wapi apate huduma. Pale Mombo chai ya rangi kikombe cha kawaida ni shilingi 1,000, wakati kawaida ni shilingi 300.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaaaa mkuu, binafsi sihangaikagi na vyakula vya njiani najiandaliaga mwenyewe nyumbani, tukifika sehem ya kula nitashuka kunyoosha miguu basi

Hii njia hata miye nimeitumia kipindi hiki Cha likizo na familia.
 
Back
Top Bottom