TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,118
- 2,686
Habari, ndugu mteja na wadau wengine.Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
View attachment 3636917
Swala la bei ni jambo la tathimini ambapo mamlaka inayosimamia huduma za maji na umeme ikijiridhisha kuhusu gharama za uwekezaji na uendeshaji inaweza kuja na mapendekezo ya kushusha au kupandisha kwa kuzingatia tathimini.
Lakini kwa ujumla hoja yako ni nzuri
Tunashukuru sana na asante. ^GK