Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,752
Reaction score
20,873
Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
GERD_2.jpg
 
Pia Sudan na Libya ni kama Ethiopia
Ila na sisi inabidi iwe kama hao lakini ndio hivyo tena tunapigwa sana
 
Pia Sudan na Libya ni kama Ethiopia
Ila na sisi inabidi iwe kama hao lakini ndio hivyo tena tunapigwa sana
 
Back
Top Bottom