Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

Habari ndugu mteja.

Tafadhali tambua kua bei ya umeme inapangwa na mamlaka kwa kuzingatia gharama za uendeshaji na uzalishaji na mapendekezo yanayotolewa na wadau. Aidha Katika mchakato wake wananchi huwa wanatoa maoni kupitia kamati za watumiaji huduma husika kwa upande wa Umeme ni Ewura CCC.

Hata hivyo masuala yote ya kikodi ni ya kisheria kwa kila mtumiaji wa huduma. Pia ni VAT ni jambo la kisheria ambalo lipo kwenye huduma zote siyo kwenye umeme tu.

Pia ni vizuri kuzingatia ni bei ya umeme pekee haijaweza kubadilika tokea 2016 licha ya gharama mbali mbali kubadilika, ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kuwa zimeongeza gharama au la!

Asante. ^GK
Halafu ninyi Tanesco kwa nini wafanyakazi wenu(waajiriwa wa shirika la Tanesco)wamewekewa umeme wa bei ya chini tofauti na watanzania wengine?Hamuoni mnatuumiza kwa kutubebesha gharama zenu?
 
Halafu ninyi Tanesco kwa nini wafanyakazi wenu(waajiriwa wa shirika la Tanesco)wamewekewa umeme wa bei ya chini tofauti na watanzania wengine?Hamuoni mnatuumiza kwa kutubebesha gharama zenu?
Habari Afcon kinanuka,

Tunapenda kukufahamisha kuwa bei ya umeme kwa unit ni moja, hakuna mfanyakazi anaye nunua umeme kwa bei ya chini. Kila anayenunua umeme lazima alipie gharama sahihi. ^CM
 
Ethiopia biashara ya matumizi ya gesi ipo sehemu ambazo hakuna umeme mjini wanatumia sana majiko ya umeme kwa sababu umeme hauna bei kubwa kama Malawi..
 
Back
Top Bottom