Wadau!!!
Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?
Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

Mkuu unaweza kufahamu iwapo hao wote wana website au mawasiliano yoyote ili utuwekee hapa?Kuna Mpakistan mmoja anayauza Mapya but assembled at Pakistan under license. Bei inaanzia 32Mil minimum price kuendelea mpaka ya 45Mil yapo. Yuko Sinza Mori unakata kona ya kwenda MAEDA BAR.
Kuna mkaka mmoja alinunuaga la kwake hapo last year mwezi wa saba, now analiuza 25Mil inclusive na Jembe lake.
Trela nimeona Ubungo Riverside, pembeni ya Landmark Hotel. Huyu anauzaga na Trekta ila bei zake ndo ziko juu maana anaagiza moja moja!
Wadau!!!
Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?
Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
Wadau!!!
Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?
Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
[h=1]Used Tractors In Kenya - Fiat & Massey Ferguson Tractors For Sale[/h]Wadau!!!
Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?
Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
Model / Type | Horse Power | Year | t/m | Eng | Colour | Extras |
Massey Ferguson MF 460 4WD | 105 | 2013 | MT | Red | 105 Horse Power, Hydraulic System, Spring Suspension Seat, 4WD |
| |
Ahsante sana mkuu kwa taarifa nzuri.Unaweza pia ukanunua lako mwenyewe kutoka UK, amabolo ni used lakini life span yake ikawa bado ni kubwa sana., kwa kulifanyia cosmetics kidogo na ukadumishaservice, nikiwa na maana ukalijali linaweza kukutoa.
Bei sio mbaya sana unawezauka - serac kwenye Farmers Machinery & Tractors for Sale | Tractor Insurance & Loans | Auto Trader Farm , jembe na trela unaweza ukanunulia huko huko nyumbani. Majembe yanayotoka Kenya mapya mazuri unaweza pata brand nzuri kkati ya 3-7M.
Ushuru wa Trecttor bandarini ni hakuna kabisa ni port charges na garama nyingine.
UK - Tz usafri wa meli za magari inachukua siku 28 tu, na sema meli zinazosafirisha magari na sio ma-kontaine, kwanihizi za makontainer zinaweza zikachukua hata siku 74 maximum.
Kama unataka msaada wa kufacilitate, baada ya wewe kuchagua na kuzungumza na muuzaji ninaweza nikakusaidia kwa makubaliano.
Wote wanaouza hapo TZ yaliyo used na mapya ujue pia hiyo ni biashara ya mtu ni lazima umwekee faida yake hapo, sasa kwa nini na ww usiagize moja kwa moja kutoka nje wanako-agiza wenzako. Network imefanya Dunia kuwa rahisi nikiw na maana mawasiliano mkuu.
Kila la kheri.
Mkuu naomba unipe mwongozo kwa used tractor kuanzia 55 hp inaweza kuwa kiasi gani mpaka linafika Bongo?Unaweza pia ukanunua lako mwenyewe kutoka UK, amabolo ni used lakini life span yake ikawa bado ni kubwa sana., kwa kulifanyia cosmetics kidogo na ukadumishaservice, nikiwa na maana ukalijali linaweza kukutoa.
Bei sio mbaya sana unawezauka - serac kwenye Farmers Machinery & Tractors for Sale | Tractor Insurance & Loans | Auto Trader Farm , jembe na trela unaweza ukanunulia huko huko nyumbani. Majembe yanayotoka Kenya mapya mazuri unaweza pata brand nzuri kkati ya 3-7M.
Ushuru wa Trecttor bandarini ni hakuna kabisa ni port charges na garama nyingine.
UK - Tz usafri wa meli za magari inachukua siku 28 tu, na sema meli zinazosafirisha magari na sio ma-kontaine, kwanihizi za makontainer zinaweza zikachukua hata siku 74 maximum.
Kama unataka msaada wa kufacilitate, baada ya wewe kuchagua na kuzungumza na muuzaji ninaweza nikakusaidia kwa makubaliano.
Wote wanaouza hapo TZ yaliyo used na mapya ujue pia hiyo ni biashara ya mtu ni lazima umwekee faida yake hapo, sasa kwa nini na ww usiagize moja kwa moja kutoka nje wanako-agiza wenzako. Network imefanya Dunia kuwa rahisi nikiw na maana mawasiliano mkuu.
Kila la kheri.
Kuna mtu namjua analeta tractor toka uk massey Ferguson kama una 15mln hadi 20mln unapata trector kwakeMkuu naomba unipe mwongozo kwa used tractor kuanzia 55 hp inaweza kuwa kiasi gani mpaka linafika Bongo?
Kuna mtu namjua analeta tractor toka uk massey Ferguson kama una 15mln hadi 20mln unapata trector kwake

Anazo zenye 4WD?
Sawa mkuuKuna mzee wangu ana shida hiyo. Nitawasiliana nae kama bado anahitaji nitakutafuta.