Wapi naweza kukodi trekta na kwa bei gani? Nikiwa Dar

bon NIC

New Member
May 19, 2019
2
0
Wadau za mida

Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
 
Wadau za mida

Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
Site iko wapi? Unalima au Kwa ajili ya kazi gani?
 
Site iko wapi? Unalima au Kwa ajili ya kazi gani?
site iko mbezi mpigi magoe, na nahitaji haswa hilo trekta kwa kazi ya kutifua ardhi iandaliwe kwa ajili ya kilimo. kuna ekari 3 zinazohitaji kufanyiwa kazi hii
 
Back
Top Bottom