Bei ya Matrekta na wapi yanapatikana?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
700
250
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
 
Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
844
1,000
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

Kuna Mpakistan mmoja anayauza Mapya but assembled at Pakistan under license. Bei inaanzia 32Mil minimum price kuendelea mpaka ya 45Mil yapo. Yuko Sinza Mori unakata kona ya kwenda MAEDA BAR.

Kuna mkaka mmoja alinunuaga la kwake hapo last year mwezi wa saba, now analiuza 25Mil inclusive na Jembe lake.

Trela nimeona Ubungo Riverside, pembeni ya Landmark Hotel. Huyu anauzaga na Trekta ila bei zake ndo ziko juu maana anaagiza moja moja!
 
selemabu

Member
May 19, 2014
47
0
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

m nakusaidia wanapouza hayo mambo ya bei utajuana nao wenyewe mkuu
we njoo mpaka njiapanda kigogo mbuyuni ukiuliza watakuonesha sawa mkuu
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,649
1,225
Kuna Mpakistan mmoja anayauza Mapya but assembled at Pakistan under license. Bei inaanzia 32Mil minimum price kuendelea mpaka ya 45Mil yapo. Yuko Sinza Mori unakata kona ya kwenda MAEDA BAR.

Kuna mkaka mmoja alinunuaga la kwake hapo last year mwezi wa saba, now analiuza 25Mil inclusive na Jembe lake.

Trela nimeona Ubungo Riverside, pembeni ya Landmark Hotel. Huyu anauzaga na Trekta ila bei zake ndo ziko juu maana anaagiza moja moja!
Mkuu unaweza kufahamu iwapo hao wote wana website au mawasiliano yoyote ili utuwekee hapa?
 
Fau2364

Member
Sep 22, 2011
21
45
Unaweza pia ukanunua lako mwenyewe kutoka UK, amabolo ni used lakini life span yake ikawa bado ni kubwa sana., kwa kulifanyia cosmetics kidogo na ukadumishaservice, nikiwa na maana ukalijali linaweza kukutoa.

Bei sio mbaya sana unawezauka - serac kwenye Farmers Machinery & Tractors for Sale | Tractor Insurance & Loans | Auto Trader Farm , jembe na trela unaweza ukanunulia huko huko nyumbani. Majembe yanayotoka Kenya mapya mazuri unaweza pata brand nzuri kkati ya 3-7M.

Ushuru wa Trecttor bandarini ni hakuna kabisa ni port charges na garama nyingine.

UK - Tz usafri wa meli za magari inachukua siku 28 tu, na sema meli zinazosafirisha magari na sio ma-kontaine, kwanihizi za makontainer zinaweza zikachukua hata siku 74 maximum.

Kama unataka msaada wa kufacilitate, baada ya wewe kuchagua na kuzungumza na muuzaji ninaweza nikakusaidia kwa makubaliano.

Wote wanaouza hapo TZ yaliyo used na mapya ujue pia hiyo ni biashara ya mtu ni lazima umwekee faida yake hapo, sasa kwa nini na ww usiagize moja kwa moja kutoka nje wanako-agiza wenzako. Network imefanya Dunia kuwa rahisi nikiw na maana mawasiliano mkuu.

Kila la kheri.
 
jubilant

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
308
500
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

Ndugu Kuamza hujaeleza lengo la kunua tractor ni nini? kulima au ni biashara?? ungejieleza zaidi ningekushauri kwa upana zaidi kwani nafahamu mechanical details nyingi za matrector Farmtrac, Massey ferguson, Ford, IH, Same,Kubota John Deere.
Mie ni mkulima naishi Dar nimetembelea maeneo yote wanayouza Tractor na implements zake.
Jaribu kutembelea Kampuni ya Loanagro iko Ursino Road Mikocheni www.loanagro.co.tz wanajihusisha na tractor aina ya John Deere na pia wanakopesha kwa muda wa miaka 3 kwa riba ya 19%.
Nadhani utakuwa umepata mwanga
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,905
2,000
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

nenda kwenye ma yard ya magari wanayouza utazipata hizo
 
waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,512
2,000
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
[h=1]Used Tractors In Kenya - Fiat & Massey Ferguson Tractors For Sale[/h]
Tractor Provider Ltd, selling and exporting of new and used Massey Ferguson tractors and farm implements. We have a proven track record of selling agricultural machineries throughout the world especially in Kenya, Tanzania, Uganda, Zambia, Zimbabwe and other African and Caribbean region.[h=2]Saturday, 3 May 2014[/h] [h=3]MF 260 Tractor for sale in Kenya- Ready Stock[/h]

Buy Massey Ferguson 260 Model 2004, Turbo 60HP tractor and Get USD1200 DISCOUNT and 50% OFF on Post Hole Digger.​

Kenyan tractor dealers and farmers have a golden opportunity to buy this tractor at highly discounted price. This is limited time offer so hurry up!​

CIF Price Kenya USD12,000/-

Enquiry for Massey Ferguson 260Posted by Tractor Provider at 03:08 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: MF 260 Tractor for sale in Kenya- Ready Stock

[h=2]Wednesday, 27 November 2013[/h] [h=3]Chisel Plough for Sale In Kenya[/h]
Chisel Plough:

A Chisel Plough Implement is basically used in easily any kind of tractor. The main role of Chisel Plough is to loosen and aerate the soil, leaving crop residues on the top floor.

Enquiry for Chisel Plough

[h=3]Chisel Plough Specifications[/h]Heavy steel box V-type frame without bolt and nut.
Three easily replaceable tines designed to penetrate up to 20'' without much effort.
Shovels easily replaceable.
Working width 1.20m (Meters).
Tractor compatibility 50-85 Horse power (hp)

Posted by Tractor Provider at 02:17 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: Chisel Plough Implements

[h=2]Wednesday, 2 October 2013[/h] [h=3]Massey Ferguson MF 375 Tractors for Sale[/h]
Tractor Provider provides tractors of popular brands like Massey Ferguson which is very common in Zimbabwe, Botswana, Zambia, Mozambique, Malawi, etc. We are offering Massey Ferguson MF-375 tractors at negotiable price..

Send us Enquiry for Massey Ferguson 375
Posted by Tractor Provider at 04:08 1 comment: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: Massey Ferguson MF 375 Tractors for Sale

[h=2]Friday, 12 July 2013[/h] [h=3]Massey Ferguson 460 4WD Tractors for Sale[/h]

Buy Massey Ferguson 460 4WD Tractor which is available with huge savings exclusively for Kenyan formers, dealers and agricultural suppliers. This brand new MF-460 4WD, 105 hp (Horse Power) available in our stock extra features are like Hydraulic System, Spring Suspension Seat etc.Model / Type
Horse PowerYeart/mEngColourExtras
Massey Ferguson MF 460 4WD1052013MTRed105 Horse Power,
Hydraulic System,
Spring Suspension Seat,
4WD

Enquiry for Massey Ferguson 460

Posted by Tractor Provider at 23:59 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: mf 460, mf 460 tractor for sale

[h=2]Wednesday, 3 April 2013[/h] [h=3]Disc Plough Implement For Sale In Kenya[/h]

[h=2]Disc Plough:[/h] A Disc Plough Implement is basically used in farm, where it is used deep roots in soil. Disc Plough is attach with tractors.

Enquiry for Disc Plough

Disc Plough Specifications

1. Frame Type: Tubular Seamless Steel Pipe
2. Number of furrow: 2, 2 + 1, 3, 3+1
3. Furrow Width: 254 mm
4. Max working depth: 300 mm
5. Longitudinal clearance: 522 mm
6. Furrow Wheel dia: 508 mm
7. Plain discs 660 mm-inside or outside bevel
8. Bearings Taper roller
9. Weight 360 kg (3 Furrow)
10. Tractor 50 to 85 HP.​

Posted by Tractor Provider at 03:49 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: disc Plough, disc Plough Implement, disc Plough Implement for sale in kenya, Disc Plough Specifications, Japanese disc Plough Implement for sale, New disc Plough Implement

[h=2]Wednesday, 9 May 2012[/h] [h=3]Massey Ferguson Tractors and Agricultural Equipments for Kenya[/h]
MF 50 Hp New Tractors
MF 75 Hp New Tractors
MF 85 Hp New Tractors
MF 50Hp Used Tractors
MF 60Hp Used Tractors
MF 85 Hp Used Tractors

Enquiry for Massey Ferguson Tractors and Agricultural Equipments

Tractor providers, one of the best suppliers of brand new and used Massey Ferguson Tractors and agricultural implements exclusively for Kenya at highly competitive price.​

Posted by Tractor Provider at 05:50 5 comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: agriculture tractors, buy tractor, farm equipment, farm tractors, Massey Ferguson tractors, new tractor, tractor, tractor dealers, tractor sales, tractor supply, tractors, tractors for saleHome
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,649
1,225
Unaweza pia ukanunua lako mwenyewe kutoka UK, amabolo ni used lakini life span yake ikawa bado ni kubwa sana., kwa kulifanyia cosmetics kidogo na ukadumishaservice, nikiwa na maana ukalijali linaweza kukutoa.

Bei sio mbaya sana unawezauka - serac kwenye Farmers Machinery & Tractors for Sale | Tractor Insurance & Loans | Auto Trader Farm , jembe na trela unaweza ukanunulia huko huko nyumbani. Majembe yanayotoka Kenya mapya mazuri unaweza pata brand nzuri kkati ya 3-7M.

Ushuru wa Trecttor bandarini ni hakuna kabisa ni port charges na garama nyingine.

UK - Tz usafri wa meli za magari inachukua siku 28 tu, na sema meli zinazosafirisha magari na sio ma-kontaine, kwanihizi za makontainer zinaweza zikachukua hata siku 74 maximum.

Kama unataka msaada wa kufacilitate, baada ya wewe kuchagua na kuzungumza na muuzaji ninaweza nikakusaidia kwa makubaliano.

Wote wanaouza hapo TZ yaliyo used na mapya ujue pia hiyo ni biashara ya mtu ni lazima umwekee faida yake hapo, sasa kwa nini na ww usiagize moja kwa moja kutoka nje wanako-agiza wenzako. Network imefanya Dunia kuwa rahisi nikiw na maana mawasiliano mkuu.

Kila la kheri.
Ahsante sana mkuu kwa taarifa nzuri.
 
Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,422
2,000
Lipo moja lipo na kila kitu yani jembe pamoja na mashine ya kupukucha mahindi bei ni 27m trekta ipo moro na safi
 
Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,605
2,000
Unaweza pia ukanunua lako mwenyewe kutoka UK, amabolo ni used lakini life span yake ikawa bado ni kubwa sana., kwa kulifanyia cosmetics kidogo na ukadumishaservice, nikiwa na maana ukalijali linaweza kukutoa.

Bei sio mbaya sana unawezauka - serac kwenye Farmers Machinery & Tractors for Sale | Tractor Insurance & Loans | Auto Trader Farm , jembe na trela unaweza ukanunulia huko huko nyumbani. Majembe yanayotoka Kenya mapya mazuri unaweza pata brand nzuri kkati ya 3-7M.

Ushuru wa Trecttor bandarini ni hakuna kabisa ni port charges na garama nyingine.

UK - Tz usafri wa meli za magari inachukua siku 28 tu, na sema meli zinazosafirisha magari na sio ma-kontaine, kwanihizi za makontainer zinaweza zikachukua hata siku 74 maximum.

Kama unataka msaada wa kufacilitate, baada ya wewe kuchagua na kuzungumza na muuzaji ninaweza nikakusaidia kwa makubaliano.

Wote wanaouza hapo TZ yaliyo used na mapya ujue pia hiyo ni biashara ya mtu ni lazima umwekee faida yake hapo, sasa kwa nini na ww usiagize moja kwa moja kutoka nje wanako-agiza wenzako. Network imefanya Dunia kuwa rahisi nikiw na maana mawasiliano mkuu.

Kila la kheri.
Mkuu naomba unipe mwongozo kwa used tractor kuanzia 55 hp inaweza kuwa kiasi gani mpaka linafika Bongo?
 
Madiba

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
424
250
Kuna matrekta huwa nayaona pale Dar jirani na Ubungo Darajani, yamepangwa nje yanauzwa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom