Muongozo wa bei ya trekta kwa ajili ya kilimo

WanaJf Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango Cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi ntapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
Karibu mitaa hii
1. Anza na Trekta za Masey Ferguson

2. Ukitaka Swaraj au Kubota, nenda Agricom
 
Mara nyingi bei zake, naona wanaanzia 40M+; kwa kukushauri, ebu fika kwa wauzaji, mkubaliane namna ya kulipa kidogo kidogo
 
WanaJf Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango Cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi ntapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
Nenda kampuni za trekta mfano New Holland, john dear, case, Deutz kwa pesa hio utatanguliza utapata HP 50 bila jembe
 
Kuna jamaa wanajiita efta. huwa nawasikia sana wakijinasibu kwenye hizo mambo wacheki online wapo.
 
WanaJf Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango Cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi ntapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
Nenda nbc bank
 
Kuna jamaa wanajiita efta. huwa nawasikia sana wakijinasibu kwenye hizo mambo wacheki online wapo.
Efta wanakopesha kwakuanza na kianzio Cha asilimia 30 ya Bei halisi, eneo unalolima lianzie heka 50 na marejesho yao ni Kila mwezi ukifeli wanachukua chombo. Huo ni utaratibu wao Kwa mwaka 2019 sijui Kama wamebadili kwasasa
 
U
WanaJf,

Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million.

Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
Unataka trekta jipya au used from ulaya/Amerika au Used kwa Afrika? Kila moja na gharama zake, Ukicheza Songwe na mbeya utapata used ya Malawi na Zambia, kama unaweza jilipua nenda Singida, Dodoma au Manyara hasa kiteto hnaweza otea, unaweza visit kigogo na magomeni kwa trekta za used nje na kama unataka nyuu tembelea EFTA unaweza pata abc mpaka z
 
Nauza trekta John Deer lipo complete(Jembe na trailer lake,HP75, used km 2509 ) Piga 0629931343.
 
U

Unataka trekta jipya au used from ulaya/Amerika au Used kwa Afrika? Kila moja na gharama zake, Ukicheza Songwe na mbeya utapata used ya Malawi na Zambia, kama unaweza jilipua nenda Singida, Dodoma au Manyara hasa kiteto hnaweza otea, unaweza visit kigogo na magomeni kwa trekta za used nje na kama unataka nyuu tembelea EFTA unaweza pata abc mpaka z
Dah, unemzungusha sana jamaa, atachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom