Minada yote ya Dodoma bei sawaMnada wa wapi ndugu tupe
Ane ramani
Acha kubeba kuku kikatili namna hiyo aisee...Sawa poti
Ndo kawaida bossAcha kubeba kuku kikatili namna hiyo aisee...
Ndo umo umo kuanzia 18...Mkuu kama hawa niliowabeba sh ngapi huko kwenu????View attachment 1809832
huku kwetu si aghlabu kukuta wanauzwa kwa bei ya jumla, maana wafugaji wachache wa kuku wa kienyeji. Wengi wanafuga wale kama broiler na kuna hawa wengine wanaitwa Kroiler, huyu Kroiler anafika 25,000 lakini anakuwa na nyama kweli kweli nae.Hio ni bei ya jumla sio kwa reja reja. Wakifika sokoni ndo watauzwa kwa bei ya 18000 hadi 20000
huku kwetu si aghlabu kukuta wanauzwa kwa bei ya jumla, maana wafugaji wachache wa kuku wa kienyeji. Wengi wanafuga wale kama broiler na kuna hawa wengine wanaitwa Kroiler, huyu Kroiler anafika 25,000 lakini anakuwa na nyama kweli kweli nae.
Huku kwetu kuna vibroiler vinatoka uturuki vinauzwa buku 7, ila broiler wa hapa kwetu buku tisa.
Bei gani tajaUkihitaji kuku wengine nitafute wapo wengi nipo Tabora. Au weka namba yako. Kwa bei nzuri tu
Unauzaje Kuku mkubwa kabisaMkuu uje Kigamboni nikuuzie
Kuna vifaranga wa wiki 7 ni elfu 7, wapo wakubwa ambao wana wiki 12 hao ni kuanzia elfu 10 na kuendelea pia inategemea na ukubwa wa kukuUnauzaje Kuku mkubwa kabisa
Tabora sehemu gani upo,weka no yako nitakupigiaUkihitaji kuku wengine nitafute wapo wengi nipo Tabora. Au weka namba yako. Kwa bei nzuri tu
Mdau hakuna sotoka ya kuku.Jamaa wa hivi ndio wanaongoza kutuletea "KIDELI/SOTOKA", hakikisha unawapa chanjo kabla ya kuwaleta mjini bro.
bei gani unauza?Au uniunganishe na huyo jamaa yako kuku Tabora wapo bei nzuri
nikitaka ambao ni wa miezi 3 - 4 hivi ...unauzaje?Elf 11 hadi 12 ila nimewauza wakikua wengine ntakutaarifu...
Tuweke wazi, tuambie wapi huko na bei ya kukuAu uniunganishe na huyo jamaa yako kuku Tabora wapo bei nzuri
Ulikuwa unachukulia wap boss wangu? Na ulikuwa unatumia usafiri gani kuleta huku mjini ni basi au?Mkuu inaonekana umeenda kwa dalali ambaye naye kachukua toka kwa mkulima so anajifanya nae mkulima nataka nikupe mbinu moja kuwa ukitaka uwapate kwa bei rafiki,ww onana na mkulima unachukua tenga zima mnaanza kuwaangalia muonekano na idadi ya kuku halafu mnaanza kupanga bei ya kuku wote kwa mfano wapo kuku 100 wakubwa 70 na wa size ya kati 30 Hapo mnaweka bei ya kuku wote kuwa kila kuku ntanunua kwa buku 7,8 au 9 haijalishi mkubwa au mdogo wote wananunuliwa kwa bei moja sasa baada ya hapo ww unapeleka sokoni kuku wakubwa utauza kati ya buku 17 hadi 25 halafu wadogo utauza kuanzaia buku 12 hadi 15 sasa hapo kuku wakubwa wanakuja kuwabeba kuku wadogo ktk uuzaji ambapo ww labda umepanga kila kuku upate faida ya buku 5 unajikuta unapata iyo pesa ingawa kila mmoja unamuuza kwa bei yake na mm nakwambia ivyo kwa sababu hiyo business nimefanya sana so naijua vizuri ila tegemea changamoto ya vifo wkt wa usafirishaji.Pole kwa gazeti