Mayai ya kuku wa kienyeji

Mayai ya kuku wa kienyeji

scolastika

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,877
Reaction score
5,767
Wanajukwaa wenzangu najua hili jukwaa lina watu wengi sana mimi nafuga kuku wa mayai ya kienyeji bado natafta soko kama ww unahitaji au unaeza ukaniunganisha na mtu anayeweza kununua naomba connection mayai yanauzwa jumla na rejareja kwa bei ya jumla trey n tsh 12000, mahali nilipo n mbagala kongowe karibuni
Namba yangu ya mawasiliano n 0713678722
 
Hakuna mayai halisi ya kuku wa kienyeji dar. Kuku wanafugiwa ndani ya mabanda na kulishwa. Hiyo huwakosesha lishe ya asili na kuathiri ubora wa mayai na nyama . unatakiwa kuwa na shamba la kuku kufanikisha ufugaji wa kuku wa kienyeji.
 
Wanajukwaa wenzangu najua hili jukwaa lina watu wengi sana mimi nafuga kuku wa mayai ya kienyeji bado natafta soko kama ww unahitaji au unaeza ukaniunganisha na mtu anayeweza kununua naomba connection mayai yanauzwa jumla na rejareja kwa bei ya jumla trey n tsh 12000, mahali nilipo n mbagala kongowe karibuni
Zipo trei ngapi nataka nikuunganishe najamaa yangu muhimu weka namba zako za mawasiano
 
Hakuna mayai halisi ya kuku wa kienyeji dar. Kuku wanafugiwa ndani ya mabanda na kulishwa. Hiyo huwakosesha lishe ya asili na kuathiri ubora wa mayai na nyama . unatakiwa kuwa na shamba la kuku kufanikisha ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Ko wale wamegeuka kutoka kuwa kuku wa kienyej kwenda wa kizungu je mjin hakuwez kuwa na shamba??je unaknowldge kdogo na mambo ya biologia wale layers(kuku wa kizungu)naeza sema n genetically modified organisms(GMO)sasa vyakula tena ugali wa mama ntilie na michanganyiko mingine huwez sema inabadilisha kuku wa kienyej kuwa wa kizungu,kama n hvo unanishaurije mm aloenda singida kuchukua kuku je niassume n wa kizungu ama?
 
Aise mama mchungaji...akikujibu jitag
 
kuku wa kizungu (GMO) ukiwanyima Huduma na ukawapa suruba ya kuzunguka kutafuta chakula, mayai na nyama yao utavipenda. Nafuga mjini, eneo la 1680 sq m, fanced. Nina wa kienyeji, wa Malawi na hao usemao wa kizungu. Wore wanazunguka, Wateja husifia mayai na radha ya nyama yao.
 
Back
Top Bottom