CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,167
- 24,127
yani hadi bei ya pipa la togwa unaijua 🤣Kiukweli hata siijui 😀😀ila nimeimagine usikute hiyo taste ya Hennessy ni sawa au mbaya hata kushinda togwa(our local drink) si bora ununue togwa yako pipa zima buku 20 ujenge heshima mtaa mzima wanywee😀