Wanywaji wa hizi pombe % kubwa Ni watu wenye kipato kikubwa.
Nna ushuhuda wa mzee mmoja alkua dreva ofisi ya Makamu wa raisi enzi za MKWERE.
Hizi ndo zilikua pombe zake,
na alkua kazijaza kwny Counter sebleni kwake.
Nyingine alkua anatembea nazo kwny gari.
Yaan
Sjui Nini kilitokea,
Mwaka 2016 akaja kupunguzwa kazini,
Afu MKE wake aliekua BIBI AFYA wa manispaa flan apa mjini, akaja pata promoshen kwenda wizarani.
Sjui Nini kilitokea,
baada tu ya ile promoshen MKE akaomba talaka mahakaman.
Zile asset alzokua nazo zikagawanywa.
Aisee, jamaa aliisha ghafla.
Maisha ya upweke yalimtesa sana.
ukzingatia walkua wakiishi bila watoto jumba kubwa balaa maana watoto wote walkua nje kimasomo.
Akawa anashinda TU nyumban anakunywa,
Zilipoisha,
akawa anauza asset zake na anatumia balance aliyobaki nayo kununua pombe hiz za gharama.
Unashangaa mtu anamwambia Hana chakula nyumbani, ila anakupa laki 7 ukamnunulie chupa ya pombe.
Msongo wa mawazo ulimtesa Sana,
Alkuja kufa kwa kuungua Moto ndani ya nyumba.
Chanzo Cha Moto inasemekana ilkua hitilafu ya umeme,
ila inasemekana wakat Moto unaaza mpk nyumba nzima inaungua jamaa alkua mle ndani kalewa chakali.
Inavyoonekana alilewa sn Kias Cha kashindwa kujinusuru.
R.i.p my best friend R.S Malemo,
Wale mliokuemo OMR- RV05 Mtakua mnakumbuka uyu mwamba.