Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 614
- 962
Milioni mbili na pointi, aisee watu wako na hela mingi.
Ukinywa inaongeza nguvu za kiume au mkojo wake ni tofauti na wa balimi..!?
Au Captain Morgan spiced...Hennessy sijawahi kuielewa taste yake. Bora JD.
Oooh yes. Hiyo Rum iko poa.Au Captain Morgan spiced...
Miaka 2.5 kazi bila malipo. Na papuchi itakuwa other incentivesIkitokea barmaid aidondeshe kwa bahati mbaya atafanywa nini
🙄🙄🙄valeu na k vant ndio mambo yake hayo
ukinywa valeu kama huna demu unapanda mnazi
Nimeiandika kwa dharau nawewe ukaingia cha keUnaongelea 'enesy' ipi?
Say what?
Hhahhahaa ila ww kichwa moto sana
Mi kinywaji cha Elfu 50 tu labda kiwe na ujazo wa Sim Tank. Ila eti anabeba muhudumu hivi hafu ninunue elfu 50?
Certainly.JD ndo level zako.
Kuna '' version'' tofauti. Hiyo aliyoweka picha ndiyo bei yake. Kuna nyengine bei kubwa zaidi na nyengine bei rahisi.Kuna zingine mbona mpka 85k