Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

Kaulizie bei ya chivas regal halafu uje utoe huo utopolo wako wa enesy
 
Aah naishi kwa uwezo wangu kitu serenget lite baridiiii nikiwa nayo nakunywa heineken [emoji482] siku zingine wine zangu za kawaida image,Dodoma wine [emoji485] ndio kauwezo kangu
Hizo mnywaji wa enes atasema zinauwa nguvu za kiume 🤪
 
Back
Top Bottom