Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
expensive shit
Haina maajabu yoyote pombe gani unakunywa hulewiiii?Aisee tutame radhi wanywa kvant.... Hicho ni kinywaji chetu pendwa.... Kvant [emoji1634][emoji1634][emoji1634][emoji1634][emoji1634]
Hizi hesabu haziko hivi,huwezi kata kodi kwa kitu ni enclusive teyari2.5x24x0.18=10.8M
Nawaza tu, muuza duka kwa bahati mbaya kaangusha pwah [emoji849]
Dah hatari sana inasikitisha kwa kweliWanywaji wa hizi pombe % kubwa Ni watu wenye kipato kikubwa.
Nna ushuhuda wa mzee mmoja alkua dreva ofisi ya Makamu wa raisi enzi za MKWERE.
Hizi ndo zilikua pombe zake,
na alkua kazijaza kwny Counter sebleni kwake.
Nyingine alkua anatembea nazo kwny gari.
Yaan
Sjui Nini kilitokea,
Mwaka 2016 akaja kupunguzwa kazini,
Afu MKE wake aliekua BIBI AFYA wa manispaa flan apa mjini, akaja pata promoshen kwenda wizarani.
Sjui Nini kilitokea,
baada tu ya ile promoshen MKE akaomba talaka mahakaman.
Zile asset alzokua nazo zikagawanywa.
Aisee, jamaa aliisha ghafla.
Maisha ya upweke yalimtesa sana.
ukzingatia walkua wakiishi bila watoto jumba kubwa balaa maana watoto wote walkua nje kimasomo.
Akawa anashinda TU nyumban anakunywa,
Zilipoisha,
akawa anauza asset zake na anatumia balance aliyobaki nayo kununua pombe hiz za gharama.
Unashangaa mtu anamwambia Hana chakula nyumbani, ila anakupa laki 7 ukamnunulie chupa ya pombe.
Msongo wa mawazo ulimtesa Sana,
Alkuja kufa kwa kuungua Moto ndani ya nyumba.
Chanzo Cha Moto inasemekana ilkua hitilafu ya umeme,
ila inasemekana wakat Moto unaaza mpk nyumba nzima inaungua jamaa alkua mle ndani kalewa chakali.
Inavyoonekana alilewa sn Kias Cha kashindwa kujinusuru.
R.i.p my best friend R.S Malemo,
Wale mliokuemo OMR- RV05 Mtakua mnakumbuka uyu mwamba.
[emoji16][emoji16][emoji16]Unaeza piga ukunga kama umefiwaNawaza tu, muuza duka kwa bahati mbaya kaangusha pwah [emoji849]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Na ukatimua mbio,kwa mshahara wako wa laki kwa mwezi utakatwa mwaka mzima ukifidia loss[emoji16][emoji16][emoji16]Unaeza piga ukunga kama umefiwa
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Me sirudi dukani ila ntaionja kidogo nione maajabu yake[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Na ukatimua mbio,kwa mshahara wako wa laki kwa mwezi utakatwa mwaka mzima ukifidia loss
Boss atajua ulivunja makusudi kabisa yani na kuonja juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me sirudi dukani ila ntaionja kidogo nione maajabu yake
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukinywa unakojoa balimi wanakunywa wengine.
Na anayekunywa K-VANT,sijui anamuonaje wa banana,almaarufu KENGEUkiwa umezoea kunywa hizi HENNESSY,
Unawaona wale wanaokunywa K-VANT Kama wamechanganyikiwa vile[emoji23]
unakojoa 2.5milHalafu unaenda kuikojoa?
[emoji23][emoji23]Na anayekunywa K-VANT,sijui anamuonaje wa banana,almaarufu KENGE
Nimecheka sanaHahahaha kuna bar moja nilienda nikakuta meza zimejaa ila kulikua na meza moja kakaa mama mmoja na wasichana wawiwili nikaenda nikakaa hapo hapo nikaagiza k vant na safari ndogo yakuchanganyia nikaona wale wadada wanazitoa simu zao mezani wanaweka kwenye mikoba...nilijiuliza maswali mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]