macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,418
- 61,104
Hii nayo inatembea kwenye laki
Siku hizi maneno hayo hakuna tena...ila jisemee mwenyew "mimi masikini sina pesa ndio maana nakunywa Valeur badala ya Hennessy"Kuna mtu anataka kutumia neno kali huko nyuma ya kibodi yake lakini ana hofu,wacha mimi nimuwakilishe.Mtu huyo alikuwa anataka kusema "kutoa 2.5M kununua kitu kama hiki ni usenge wa hali ya juu mno",mwisho wa kunukuu
hapo sawaUkiwa na chupa tupu unang'oa pisi za kutosha
🤔I.S.T used tena namba D unapata kwa hiiKuna '' version'' tofauti. Hiyo aliyoweka picha ndiyo bei yake. Kuna nyengine bei kubwa zaidi na nyengine bei rahisi.
Hii ni milioni tano kwenda juu
View attachment 1727282
Mtu anaingiza kitu kama bilioni moja kila siku, hiyo ni uchafu tu.Milioni mbili na pointi,aisee watu wako na hela mingi.
Mimi nahisi barmaid hawezi ibeba hiii maaana akila mzinga mayo,Ikitokea barmaid aidondeshe kwa bahati mbaya atafanywa nini
Atafanya kazi bila malipo mpka deni lake liishe ikishindikana ataandikishwa deni alipe ikishindikana atawekwa ndaniIkitokea barmaid aidondeshe kwa bahati mbaya atafanywa nini
Kanunue drum la mbegeMi kinywaji cha Elfu 50 tu labda kiwe na ujazo wa Sim Tank. Ila eti anabeba muhudumu hivi hafu ninunue elfu 50?
kwamba togwa ushawahi ionja 🤣Duh M 2.5? Kwani ukinywa husikii kiu tena?. Taste yake ikoje jamani mliowahi kuinywa huenda ni mbaya tu kama togwa😀
Kiukweli hata siijui 😀😀ila nimeimagine usikute hiyo taste ya Hennessy ni sawa au mbaya hata kushinda togwa(our local drink) si bora ununue togwa yako pipa zima buku 20 ujenge heshima mtaa mzima wanywee😀kwamba togwa ushawahi ionja 🤣
InategemeaHela ndogo mno hiyo!
Wamelala tokea saa 12Wale wa banana tuko wapi😎😎