Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

Hahahaha kuna bar moja nilienda nikakuta meza zimejaa ila kulikua na meza moja kakaa mama mmoja na wasichana wawiwili nikaenda nikakaa hapo hapo nikaagiza k vant na safari ndogo yakuchanganyia nikaona wale wadada wanazitoa simu zao mezani wanaweka kwenye mikoba...nilijiuliza maswali mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ehehehe walijuwa walewale,ila hata hizi brandy unywaji wake sisi tunakosea pia,ni kunywa kidogo inayobaki unaacha counter next time hivyo hivyo,hata nyumbani,si ya kumaliza lichupa lote
 
Ni ngumu aisee...chupa lazima iishe na uhakikisje kabisa chuma kimekatika

Kuna wine ya lita 5 nilipewa kama zawadi na rafiki yangu mmoja humu niliinywa ndani ya siku moja... Ila kesho yake niliteseka kinomaa
 
Hizi pombe ukinywa hubanwi kabisa mkojo Wala kujikuta kwenye karavati
 
Kwahiyo ni kweli inaongeza ufanisi kuna kunjunjana mkuu? Unamaanisha ukinywa hiyo pombe huwa inakimbilia kichwa cha chini??😀
Sio ufanisi,inatia mzuka mkazuzu 😂,unajua maana ya mkuyati?unaopatikana supu pweza 😁sasa humo funga kazi
 
Hahahaha kuna bar moja nilienda nikakuta meza zimejaa ila kulikua na meza moja kakaa mama mmoja na wasichana wawiwili nikaenda nikakaa hapo hapo nikaagiza k vant na safari ndogo yakuchanganyia nikaona wale wadada wanazitoa simu zao mezani wanaweka kwenye mikoba...nilijiuliza maswali mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 walihisi anytime unapita na vitu vyao hahaa ungeagiza Hennessy ungeona wanavokuchekea chekea kibopa mwenyewe 🙌
 
Ni ngumu aisee...chupa lazima iishe na uhakikisje kabisa chuma kimekatika

Kuna wine ya lita 5 nilipewa kama zawadi na rafiki yangu mmoja humu niliinywa ndani ya siku moja... Ila kesho yake niliteseka kinomaa
Unaona sasa,wine unywaji wake ni glass moja imezidi sana mbili,ila kila siku,7bu ni appetizer,wengi wanapenda kuinywaga dinner time..
 
Wapo wengi sana,kuna mabos flan wa kichaga wanashangaa sana mtu kunywa bia au konyagi wanadai,zinaumiza matumbo
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo wanawaona wale wanywa bia Kama wanakunywa MATAPU TAPU vile.
 
Sasa Kama chupa Moja TU 2.5mil,
Jiulize v.a.t 18% Ni Kias gani.

Afu ndo ziwe PC 24 au 20 kwny kreti Ni Kias gani
Jiulize sasa,tbl ndio wanaongoza na hivi vibeer vya buku jero,wakifuatiwa na tcc wazee wa sigara za 150
 
Back
Top Bottom