Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

mimi naangaliaga uzito. mfano, ntaenda duka wanalouza 260k na kulinyanyua kuona uzito wake the nitaenda wanapouza 300k nacheki uzito, kama yako sawa nanunua la 260k godoro OG ni zito haliwi jepesi, weka hili kichwani litakusaidia.
 
Ahsanteni kwa michango yenu wadau, niliwasiliana na makao makuu ya tanfomu Arusha kiwandani, wakanielekeza kwa wakala wao Mwanza , tukawasiliana na wakala na jmatatu naenda kuchukua kwenye godown lao hapa Mwanza, bei elekezi ni 330000 godoro la tanfomu 5×6 inch 8 edge
Hayo yanatengenezwa hapo hapo mwanza Igogo.
 
Raha ya godoro ulalie upande huu ubonyee uwe chapati/mtumbwi

unageuza upande wa pili unalalia tena,unageuza tena na tena

yani unajisikia hadi raha kugeuza geuza godoro

unalalaje kwenye godoro husikii hata chaga ikikugusa (huo ni ulaini sana na nyie)

kidume lalie godoro uskiee kabisa mbavu imekita kwenye chaga

Maswala mnalalia godoro lineneeeeeeeeeee linakaaa miaka na miaka

huko madukan watakula nini wao...ebuuuuuuu
 
Kama una matatizo ya mgongo, nunua godoro la spring la tanfoam hutojutia. Bei ya mwaka juzi ilikua Tsh 550,000/- Size 5x6. La ukweli sana hutojutia.
Hii ya spring inakuwa na utofauti gani na mengine yasiyo ya spring?

Mimi nimetumia godoro jipya la TANFOAM ila limeniumiza mgongo haswaa na ni siku 2 tu.

Nimeambiwa ni kutokana na ugumu wake, halibonyei na kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsanteni kwa michango yenu wadau, niliwasiliana na makao makuu ya tanfomu Arusha kiwandani, wakanielekeza kwa wakala wao Mwanza , tukawasiliana na wakala na jmatatu naenda kuchukua kwenye godown lao hapa Mwanza, bei elekezi ni 330000 godoro la tanfomu 5×6 inch 8 edge
Utuletee mrejesho baada ya kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinunue godoro kwenye maduka ya kawaida hapo ulipo jitahidi ufike kwa wakala wa Tanfoam hutojutia.

Godoro madhubuti,imara na maridadi kabisa kwa thamani ya pesa yako.
Mkuu kama hutojali naomba uniambie kwa Dar nawapata wapi mawakala wa hizi kampun mbili?Tanfom na Dodoma nahitaji 6×6 8nch pia kwa aliyewahi kununua anipe idea ya bei.

Nashkuru sana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Tanfom wapo Vingunguti opposite na kiwanda cha Pepsi

Wana instagram page yao unaweza pata namba na bei.

Back
Top Bottom