Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Raha ya godoro ulalie upande huu ubonyee uwe chapati/mtumbwi

unageuza upande wa pili unalalia tena,unageuza tena na tena

yani unajisikia hadi raha kugeuza geuza godoro

unalalaje kwenye godoro husikii hata chaga ikikugusa (huo ni ulaini sana na nyie)

kidume lalie godoro uskiee kabisa mbavu imekita kwenye chaga

Maswala mnalalia godoro lineneeeeeeeeeee linakaaa miaka na miaka

huko madukan watakula nini wao...ebuuuuuuu
Mhh
 
mimi naangaliaga uzito. mfano, ntaenda duka wanalouza 260k na kulinyanyua kuona uzito wake the nitaenda wanapouza 300k nacheki uzito, kama yako sawa nanunua la 260k godoro OG ni zito haliwi jepesi, weka hili kichwani litakusaidia.
Mm naenda kiwandani kabisa ,alaf bei inakuaga cheap kuliko kwa mawakala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nataka kununua godoro bora, na sio la kuumiza mgongo, katika kutafuta taarifa humu nikagundua Magodoro ya Tanfom na QFL magodoro Dodoma ndiyo the best. Kama kawaida nikaingia mtaani kusaka godoro la inch 8, 5×6.

Kwa kampuni zote mbili, wengine wanauza 260000, wengine wanauza 300000, nilipomuuliza anayeuza 300000 kuwa kwa nn wengine wanauza 260000 na yeye kang'ang'ania piga ua mwisho 300000, akadai hayo ya 260k ni fake.

Naomba msaada kwa waliowahi kununua haya magodoro upande wa bei, je bei ya 300k kwa inch 8 , 5×6 ndo bei yenyewe au miyeyusho.

Natanguliza shukrani
Nikushauri ndugu nunua godoro original na lenye waranti kabisa
 
Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yake
Hapana boss itakuwa ulichukua density ndogo GSM za sasa mpaka waranti ipo
Wapo vizuri boss
 
He kwanini ulalie godoro ili mradi? Sidhani kama unayatambua madhara ya kulalia godoro ambalo lina matatizo. Kulalia nyasi ni sawa kama huna uwezo wa kununua godoro
𝐌𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐩𝐢 𝐧𝐝𝐮𝐠𝐮
 
Ivi bado watu mnachonga kitanda cha 5x6 sijui 6x6 sijua ma king size bed. Watu tunachonga 4x6 chuma au mbao. Mbanano wake hata ukigombana na wyf usiku mtaelewana tuu
 
Back
Top Bottom