Kabla hujanunua godoro pitia hapa ujue lipi litakufaa

Magodoro_bei_poa

Senior Member
Sep 16, 2022
129
96
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote.

Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu litaleta tatizo kwako

Ujazo ni nini?
Godoro zote tunazipima kwa mgandamizo uliotumika katika utengenezaji wake yaani density hapa shule kidogo wale ambao physics hamkuikimbia.

Kiufupi kama soda zilivyo na ujazo yaani yenye 350ml au vile vibambucha vilikuwa 250ml
Hata godoro zipo hivyo hivyo pia.

Maana wengi hukosea kuamini kwamba godoro ngumu sana ndio ubora hapana sio hivyo

Godoro lenye ujazo mdogo
Hizi ni godoro zenye ujazo chini ya 18

Godoro lenye ujazo mdogo ni zile ujazo wake upo chini ya 18 hapa Shirika letu la viwango Tbs limeyapa makampuni ya magodoro watengeneze zaidi ya hapo.

Japo vipo viwanda baadhi vinakaidi hilo. Ila pia wana sababu maana kudumu kwa godoro hutegemea mtumiaji

Mfano
Kwenye kambi zote za Jeshi wale muda wao wa kulala ni mfupi hawa wana godoro zao hupewa light density yaani ujazo kiasi.

Au wale watalii wa muda mfupi, sasa kosa ununue ndugu yangu kutwa kwenye movie

Godoro ujazo wa kati(Medium density)
Hizi huanzia ujazo wa 18 mpaka 24 zinafaa sana kwa matumizi ya ndani ila nazo zina utofauti kwenye kudumu
Lenye 19 sio sawa na lenye 24 hapa nadhani tunajua sababu kwanini

Yes ni ujazo wake mkubwa ina maana hata materials zimetumika nyingi (mgandamizo mkubwa )
Mwemye uzito wa kilo 55 sio sawa na mwenye uzito wa 80 hawawezi kutumia godoro moja

Huyu mwenye uzito wa 80 anatakiwa atumie godoro lenye ujazo wa 23 au 24 sio chini ya hapo
Na unene aanzie walau inchi 10 hapo itakuwa burudani kwake

Magodoro ujazo mkubwa
Hapa ni zile godoro ujazo zaidi ya 24 mpaka 32

Hizi zinawawafaa sana wenye uzito mkubwa yaani zaidi ya kilo 80

Au mwenye kusumbuliwa na maumivu iwe mgongo au kiuno huyu atumie kuanzia ujazo wa 28

Una swali lolote weka chini tutakujibu

Namba WhatsApp 0657050325

MAHITAJI YA GODORO PITIA HAPA

π“π”ππŽ 𝐃𝐀𝐑 𝐍𝐀 πƒπŽπƒπŽπŒπ€ ππˆπ€ 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀
π•πˆπ“π€ππƒπ€ 𝐍𝐀 πŠπ€ππ€π“πˆ ππˆπ€ π•πˆππŽ
π˜Ύπ˜Όπ™‡π™‡/π™Žπ™ˆπ™Ž πŸŽπŸ”πŸ“πŸ•πŸŽπŸ“πŸŽπŸ‘πŸπŸ“

π—©π—œπ—§π—” 𝗙𝗒𝗔𝗠 π—­π—œπ—£π—’ π—žπ—”π—§π—œπ—žπ—” 𝗒𝗙𝗙𝗔
5𝗫6 π—œπ—‘π—–π—›π—œ 8 π—¨π—‘π—”π—Ÿπ—œπ—£π—”π—§π—” π—žπ—ͺ𝗔 180000 𝗧𝗨

INCHI 6 150000 TU
INCHI 10 265000 TU
INCHI 12 330000 TU

6X6

INCHI 6 NI 195000
6X6 INCHI 8 NI 245000
6x6 INCHI 10 NI 320000
6x6 INCHI 12 NI 430000

4x6 inchi 6 130000
4x6 inch 8 ni 150000

π†πŽπƒπŽπ‘πŽ πŠπ€πŒππ”ππˆ π™πŽπ“π„ π™πˆππŽ πŠπ–π€ ππ„πˆ ππŽπ€ 𝐍𝐀 ππŽππŽπ“π„ 𝐔𝐍𝐀𝐋𝐄𝐓𝐄𝐖𝐀 𝐁𝐔𝐑𝐄
𝐃𝐀𝐑

QFL DODOMA NA COMFY PLAIN (KAWAIDA)
GODORO ZA 5X6

INCHI 6 NI 195000
INCHI 8 NI 250000
INCHI 10 NI 320000
INCHI 12 NI 380000

4x6 dodoma qfl na comfy

4x6 inchi 6 ni 180000
4x6 inchi 8 ni 230000
4x6 inchi 10 ni kwa #order

QFL NYEUPE KASHATA (DRAFT NYEUPE) 5X6

INCHI 8 NI 280000
iNCHI 10 5x6 350000
INCHI 12 5x6 NI 420000
ZIPO SPRING NA ORTHOPEDIC PIA ORODHA MWISHONI

VITA SUPREME INAFAA AFYA MGONGO 5X6

5X6 INCHI 6 NI 280000
5X6 INCHI 8 UNALIPATA KWA 320000
5X6 INCHI 10 NI 380000
5X6 INCHI 12 490,000

6X6

INCHI 8 NI 450,000
6X6 INCHI 10 NI 520,000
NA 6X6 INCHI 12 NI 570000

𝐓𝐀𝐍 π…πŽπ€πŒ 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀 πŸ“π—πŸ”
πˆππ‚π‡πˆ πŸ” 𝐍𝐈 πŸπŸ–πŸŽπŸŽπŸŽπŸŽ
πˆππ‚π‡πˆ πŸ– 𝐍𝐈 πŸ‘πŸ’πŸŽπŸŽπŸŽπŸŽ
πˆππ‚π‡πˆ 𝟏𝟎 𝐍𝐈 πŸ’πŸπŸ“πŸŽπŸŽπŸŽ
πˆππ‚π‡πˆ 𝟏𝟐 𝐍𝐈 πŸ’πŸ—πŸŽπŸŽπŸŽ

SPRING MATTRESS

5X6 INCHI 8 550,000
5X6 INCHI 10 590000

6X6
INCHI 8 NI 640000
INCHI 10 NI 715,000

ORTHOPEDIC MATTRESS

5X6 INCHI 6 490000
5X6 INCHI 8 580000

6X6

INCHI 8 6900000

BEST ARUSHA $ ARUSHA DELUXE ZIPO & SUPER BANCO

USAFIRI NI BURE NDANI YA DAR ES SALAAM MALIPO LIKISHAFIKA ULIPO

KING SIZE
6X7 AU 7X7 NI KWA ORDER

#gainwithmchina
 
Wale wanaopenda godoro za luxury full mneso
Spring zipo 5x6 na 6x6

images%20(4)%20(14).jpg
 
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote.

Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu litaleta tatizo kwako

Ujazo ni nini?
Godoro zote tunazipima kwa mgandamizo uliotumika katika utengenezaji wake yaani density hapa shule kidogo wale ambao physics hamkuikimbia.

Kiufupi kama soda zilivyo na ujazo yaani yenye 350ml au vile vibambucha vilikuwa 250ml
Hata godoro zipo hivyo hivyo pia.

Maana wengi hukosea kuamini kwamba godoro ngumu sana ndio ubora hapana sio hivyo

Godoro lenye ujazo mdogo
Hizi ni godoro zenye ujazo chini ya 18

Godoro lenye ujazo mdogo ni zile ujazo wake upo chini ya 18 hapa Shirika letu la viwango Tbs limeyapa makampuni ya magodoro watengeneze zaidi ya hapo.

Japo vipo viwanda baadhi vinakaidi hilo. Ila pia wana sababu maana kudumu kwa godoro hutegemea mtumiaji

Mfano
Kwenye kambi zote za Jeshi wale muda wao wa kulala ni mfupi hawa wana godoro zao hupewa light density yaani ujazo kiasi.

Au wale watalii wa muda mfupi, sasa kosa ununue ndugu yangu kutwa kwenye movie

Godoro ujazo wa kati(Medium density)
Hizi huanzia ujazo wa 18 mpaka 24 zinafaa sana kwa matumizi ya ndani ila nazo zina utofauti kwenye kudumu
Lenye 19 sio sawa na lenye 24 hapa nadhani tunajua sababu kwanini

Yes ni ujazo wake mkubwa ina maana hata materials zimetumika nyingi (mgandamizo mkubwa )
Mwemye uzito wa kilo 55 sio sawa na mwenye uzito wa 80 hawawezi kutumia godoro moja

Huyu mwenye uzito wa 80 anatakiwa atumie godoro lenye ujazo wa 23 au 24 sio chini ya hapo
Na unene aanzie walau inchi 10 hapo itakuwa burudani kwake

Magodoro ujazo mkubwa
Hapa ni zile godoro ujazo zaidi ya 24 mpaka 32

Hizi zinawawafaa sana wenye uzito mkubwa yaani zaidi ya kilo 80

Au mwenye kusumbuliwa na maumivu iwe mgongo au kiuno huyu atumie kuanzia ujazo wa 28

Una swali lolote weka chini tutakujibu

Namba WhatsApp 0657050325
Huo ujazo, ujazo ni nini ni kilo au lita?
 
Duh nimecheka mpaka kupaliwa na dawn yote hii🀣🀣
Ndiomana akasema wale ambao hawjakimbia physics watamuelewa na kwa swali lako hili unadhihirisha hata physics ya form one huijui maana maneno DENSITY, MASS, MATTER yasingekuwa mageni kwako. Hapa limetumika moja tu density je angeelezea full details za utengenezaji wake hata kunusa huu Uzi usingeunusaπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Density haihusu physics tu kwani hata idadi ya watu ambayo si physics ni density pia, godoro hutengenezwa kwa kutumia kimiminika ili upate povu(foam).
 
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote.

Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu litaleta tatizo kwako

Ujazo ni nini?
Godoro zote tunazipima kwa mgandamizo uliotumika katika utengenezaji wake yaani density hapa shule kidogo wale ambao physics hamkuikimbia.

Kiufupi kama soda zilivyo na ujazo yaani yenye 350ml au vile vibambucha vilikuwa 250ml
Hata godoro zipo hivyo hivyo pia.

Maana wengi hukosea kuamini kwamba godoro ngumu sana ndio ubora hapana sio hivyo

Godoro lenye ujazo mdogo
Hizi ni godoro zenye ujazo chini ya 18

Godoro lenye ujazo mdogo ni zile ujazo wake upo chini ya 18 hapa Shirika letu la viwango Tbs limeyapa makampuni ya magodoro watengeneze zaidi ya hapo.

Japo vipo viwanda baadhi vinakaidi hilo. Ila pia wana sababu maana kudumu kwa godoro hutegemea mtumiaji

Mfano
Kwenye kambi zote za Jeshi wale muda wao wa kulala ni mfupi hawa wana godoro zao hupewa light density yaani ujazo kiasi.

Au wale watalii wa muda mfupi, sasa kosa ununue ndugu yangu kutwa kwenye movie

Godoro ujazo wa kati(Medium density)
Hizi huanzia ujazo wa 18 mpaka 24 zinafaa sana kwa matumizi ya ndani ila nazo zina utofauti kwenye kudumu
Lenye 19 sio sawa na lenye 24 hapa nadhani tunajua sababu kwanini

Yes ni ujazo wake mkubwa ina maana hata materials zimetumika nyingi (mgandamizo mkubwa )
Mwemye uzito wa kilo 55 sio sawa na mwenye uzito wa 80 hawawezi kutumia godoro moja

Huyu mwenye uzito wa 80 anatakiwa atumie godoro lenye ujazo wa 23 au 24 sio chini ya hapo
Na unene aanzie walau inchi 10 hapo itakuwa burudani kwake

Magodoro ujazo mkubwa
Hapa ni zile godoro ujazo zaidi ya 24 mpaka 32

Hizi zinawawafaa sana wenye uzito mkubwa yaani zaidi ya kilo 80

Au mwenye kusumbuliwa na maumivu iwe mgongo au kiuno huyu atumie kuanzia ujazo wa 28

Una swali lolote weka chini tutakujibu

Namba WhatsApp 0657050325
Nimechoka kununua magodoro, baada ya muda yabonyea katikati, nishauri ninunue godoro gari zuri!? Nimenunua brand karibia kubwa ila hamna kitu, naumia Sana mgongo. Shukrani
 
Ingekuwa vizuri ungetumia umoja usipangiwe na nani mkuu? Wabongo kwa maneno mengi hapo hata laki mbili Huna lakini mdomo kama kasuku mdogo
Anyway msongo wa mawazo unazalisha panic nyingi mtaani
Hujioni wewe ndo mwenye maneno mengi kama kasuku, huna hata pesa ya matangazo unakuja kutangaza bure JF........punguza jazba hata kama magodoro yako ya kichina yamekudodea.
 
Nimechoka kununua magodoro, baada ya muda yabonyea katikati, nishauri ninunue godoro gari zuri!? Nimenunua brand karibia kubwa ila hamna kitu, naumia Sana mgongo. Shukrani
Pole sana chief kununua kampuni kubwa au ndogo bila kuzingatia godoro lina ujazo gani bado haisaidii
Maana kampuni nyingi wanazalisha godoro kwa ujazo tofauti na bei tofauti
Cha kukushauri kama una uzito chini ya 90 na umri chini ya miaka 60
Unaweza kununua godoro zufuatazo na kutokana na tatizo lako nakushauri anzia inchi 10

Nunua
Dodoma
Vita raha
Banco
Tan foam
Arusha deluxe

Japo dodoma ni favorite kwako ila hakikisha ni original zina ujanja mwingi
Kama ni zaidi ya hapo na tatizo limekuwa kubwa chukua vita supreme tu nayo inchi 10 maswali na ushauri zaidi
0657050325
 
Hujioni wewe ndo mwenye maneno mengi kama kasuku, huna hata pesa ya matangazo unakuja kutangaza bure JF........punguza jazba hata kama magodoro yako ya kichina yamekudodea.
Subiri umalize shule au baba kakosea kukupa bando

Ila ingia insta andika Magodoro_bei_poa utaona
Naamini nawe ni mteja wangu ila ukue kwanza
 
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote.

Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu litaleta tatizo kwako

Ujazo ni nini?
Godoro zote tunazipima kwa mgandamizo uliotumika katika utengenezaji wake yaani density hapa shule kidogo wale ambao physics hamkuikimbia.

Kiufupi kama soda zilivyo na ujazo yaani yenye 350ml au vile vibambucha vilikuwa 250ml
Hata godoro zipo hivyo hivyo pia.

Maana wengi hukosea kuamini kwamba godoro ngumu sana ndio ubora hapana sio hivyo

Godoro lenye ujazo mdogo
Hizi ni godoro zenye ujazo chini ya 18

Godoro lenye ujazo mdogo ni zile ujazo wake upo chini ya 18 hapa Shirika letu la viwango Tbs limeyapa makampuni ya magodoro watengeneze zaidi ya hapo.

Japo vipo viwanda baadhi vinakaidi hilo. Ila pia wana sababu maana kudumu kwa godoro hutegemea mtumiaji

Mfano
Kwenye kambi zote za Jeshi wale muda wao wa kulala ni mfupi hawa wana godoro zao hupewa light density yaani ujazo kiasi.

Au wale watalii wa muda mfupi, sasa kosa ununue ndugu yangu kutwa kwenye movie

Godoro ujazo wa kati(Medium density)
Hizi huanzia ujazo wa 18 mpaka 24 zinafaa sana kwa matumizi ya ndani ila nazo zina utofauti kwenye kudumu
Lenye 19 sio sawa na lenye 24 hapa nadhani tunajua sababu kwanini

Yes ni ujazo wake mkubwa ina maana hata materials zimetumika nyingi (mgandamizo mkubwa )
Mwemye uzito wa kilo 55 sio sawa na mwenye uzito wa 80 hawawezi kutumia godoro moja

Huyu mwenye uzito wa 80 anatakiwa atumie godoro lenye ujazo wa 23 au 24 sio chini ya hapo
Na unene aanzie walau inchi 10 hapo itakuwa burudani kwake

Magodoro ujazo mkubwa
Hapa ni zile godoro ujazo zaidi ya 24 mpaka 32

Hizi zinawawafaa sana wenye uzito mkubwa yaani zaidi ya kilo 80

Au mwenye kusumbuliwa na maumivu iwe mgongo au kiuno huyu atumie kuanzia ujazo wa 28

Una swali lolote weka chini tutakujibu

Namba WhatsApp 0657050325
Maelezo mepesi sana.
Tangaza biashara
 
Pole sana chief kununua kampuni kubwa au ndogo bila kuzingatia godoro lina ujazo gani bado haisaidii
Maana kampuni nyingi wanazalisha godoro kwa ujazo tofauti na bei tofauti
Cha kukushauri kama una uzito chini ya 90 na umri chini ya miaka 60
Unaweza kununua godoro zufuatazo na kutokana na tatizo lako nakushauri anzia inchi 10

Nunua
Dodoma
Vita raha
Banco
Tan foam
Arusha deluxe

Japo dodoma ni favorite kwako ila hakikisha ni original zina ujanja mwingi
Kama ni zaidi ya hapo na tatizo limekuwa kubwa chukua vita supreme tu nayo inchi 10 maswali na ushauri zaidi
0657050325
Kwenye list uliyotaja nimeshanunua Dodoma, Tanform (tena kiwandani) Vita Raha na sasa natumia Banco, yote Yanafanana, yabonyea Kati kati baadae ya muda flani WA matumizi.

Umri ni chini ya 50, na Mke ninae, kg Nina 80 mke Yuko 75kg. Natumia magodoro ya "5"
 
Godoro ulizotaja zote ni ujazo wa 23 na 24 pia kubonyea kwa godoro kuna sababu nyingi miongoni ni hizi

Kitanda chako chaga zina uwazi mkubwa
Godoro kukunjwa muda mrefu
Kulala godoro na karatasi lake bila kulivua

Pia kwa huo uzito bado huo ujazo sio sahihi kwako walau uende inchi 10 au 12

Godoro linalokufaa ujazo wa 28 na kuendelea karibu kwa ushauri zaidi
Godoro gani utumie
 
Back
Top Bottom