Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,052
Reaction score
25,091
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
 
Embu muulize Lema au Mdude watakupa jibu sahihi
 
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Kwani tuna dhahabu? Umewahi kusikia inatajwa kama rasilimali yetu au pato katika bajeti?
 
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Tuko kwenye era ya kula kwa urefu wa kamba.. Mengine hayatuhusu😭
 
Gram moja leo ilikuwa $112 ambazo ni zaidi ya laki tatu.
Kwa bei ya dollar Kwa tarehe ya leo 22/4/2025 ni sawa na shilingi za Tanzania 2,685

Ambapo Kwa hizo dollar 112 x 2,685 =300,720

Dhahabu haijapanda eti kwasababu za mgogoro wa kiuchumi kati ya China na Marekani

Isipokuwa imepanda kutokana na shilingi yetu kutokuwa imara

Mwezi wa kwanza, dollar 1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,495

Mwezi huu Aprili, tayari dollar imepanda Thamani Kwa zaidi ya 100+

Hili lipo kwetu Watanzania na wachumi wetu akina Mwigulu

Ndiyo maana hata gharama za kuagiza magari nje ya Nchi zimepanda kutokana na kupanda Kwa dollar pia 🙌
 
Fuatilia masoko ya assets duniani ujadili mambo kwa authority. India ilihamisha dhahabu zake kutoka London na sasa hivi Ujerumani nayo inataka kuhamisha dhahabu zake kutoka New York kwa sababu thamani ya dhahabu imekuwa inapanda sana.
 
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?

Nakumbuka kuna mbunge wa Upinzani aliwahi kushauri kuwa Benki kuu wanunue dhahabu kama hazina ya Taifa lakini Mwigulu Nchemba akiwa Naibu waziri wa fedha alipinga sana .

Ila mataifa makubwa na mabilionea wa Kiarabu wanaakiba kubwa sana ya dhahabu na haijawahi kuporomoka kwa kiwango cha pesa zetu zilizokua zinaitwa za madafu . Pesa zinazobadilika badoka kama kinyonga . Kuanzia Mwingi aingie madarakani kazi ni kubadilisha pesa na kuongeza ukubwa wa Karatasi na kuhakikisha kila waziri anaweka saini yake kama kumbukumbu yake bila kujali
 
Benki kuu ya Tanzania ikinunua dhahabu watazitunza wapi kama haizitaibiwa na maafisa wa benki hiyo ni kuziuza nje ya nchi kwa faida yao binafsi.
 
Madini yapo kwenye ardhi ya Tanzania ila sio kwa faida ya Watanzania Nchi Ina madini kila sehemu ila wapo busy kupandisha kodi kwenye Mpesa ukiwauliza wanapata kiasi gani kwenye mchango wa madini kila mwaka utasikia tuna deni himilivu basi.
 
Benki kuu ya Tanzania ikinunua dhahabu watazitunza wapi kama haizitaibiwa na maafisa wa benki hiyo ni kuziuza nje ya nchi kwa faida yao binafsi.

Dhahabu inatunzwa kama fedha za kigeni .
Benki kuu pesa zinztumzwa sana ila zinaibiwa kwa mchongo unaowahusisha wanasiasa hasa waziri wa fedha ,Gavana na Mkuu wa nchi mwenyewe au kuichoma moto japo karne hii hata moto unadhibitiwa labda utoke moto wa kama wa Sodoma na gomora utakaoharibu karibu eno kubwa la jiji lakini sio kamoto la mchongo la genge la watu kama wale wa miaka ileee.
 
Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
Sasa hivi serikali haina lolote katika madini baada ya Magufuli kufa. Madini yamerudishwa mikononi mwa walanguzi binafsi. Sio dhahabu, The peculiar Tanzanite nk
 
Fuatilia masoko ya assets duniani ujadili mambo kwa authority. India ilihamisha dhahabu zake kutoka London na sasa hivi Ujerumani nayo inataka kuhamisha dhahabu zake kutoka New York kwa sababu thamani ya dhahabu imekuwa inapanda sana.
Sawa Mkuu, nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom