Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

Nakumbuka kuna mbunge wa Upinzani aliwahi kushauri kuwa Benki kuu wanunue dhahabu kama hazina ya Taifa lakini Mwigulu Nchemba akiwa Naibu waziri wa fedha alipinga sana .

Ila mataifa makubwa na mabilionea wa Kiarabu wanaakiba kubwa sana ya dhahabu na haijawahi kuporomoka kwa kiwango cha pesa zetu zilizokua zinaitwa za madafu . Pesa zinazobadilika badoka kama kinyonga . Kuanzia Mwingi aingie madarakani kazi ni kubadilisha pesa na kuongeza ukubwa wa Karatasi na kuhakikisha kila waziri anaweka saini yake kama kumbukumbu yake bila kujali
Sisi ya kwetu Iko ardhini bado 😂😂😂
 
Usiulize Tanzanaia itafaidikaje,
Wewe shuka bondeni ukafukuwe aafu utauza tu,usisubiri serikali yaserikali iachie serikali mengine ni wewe tu kuamua.
 
Back
Top Bottom