laki nane na nusu, volkswagen beetle
laki nane na nusu, volkswagen beetle
Model ipi kama ni zile za old Model hizo zinapatikana kuanzia elfu hamsini hadi laki mbili tu....laki nane na nusu, volkswagen beetle
Model ipi kama ni zile za old Model hizo zinapatikana kuanzia elfu hamsini hadi laki mbili tu....
Beetle Model za kisasa hatoziweza
Jina lingine tuliziita Mgongo wa Chura Tulikuwa nazo Tatu za Model zote zile za OldTehtehtehhhhhhh..... hizo zilikuwa kama kobe kabisa...
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
Mkuu Mazda demio vp spea zake na ulaji wake wa wese upo fresh,manake nazionaga net tena bei poa ila cjajua per4mance yake kwenye vitu hvyo
Mkuu Mazda demio vp spea zake na ulaji wake wa wese upo fresh,manake nazionaga net tena bei poa ila cjajua per4mance yake kwenye vitu hvyo
Spare zipo mkuu,wana agent wao kule barabara ya mandela,spare zote unapata!!
Performance yake iko poa,mafuta kina nusa tu
, poa kaka mkuu ngoja nizichange na mm nitembee huku nikiwa nimekaa,napendelea zaidi lupo au polo
Spare zipo mkuu,wana agent wao kule barabara ya mandela,spare zote unapata!!
Performance yake iko poa,mafuta kina nusa tu
Barabara ya Mandela sehemu gani specific, maana Mazda yangu imezingua kifaa flani hivi nakitafuta sana.