Bei ya chini kwa Gari la kawaida la Kutembelea, yaweza kuwa kiasi gani?

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
 
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?

Mkuu kuna Toyota caldina inaenda kwa 8.5M,iko poa sana mkuu,if ur interested ni PM
 
Utani pembeni: mimi nina Toyota Tarcel, VX, 1997, 80,000km, 1450CC, PM, PW, Manual 5 gear, AC, Stereo Music system,Dual air bags, anti lock brake system, UV cut windows . 6.5m. Contact: africapride12@yahoo.com au ni PM
 
Back
Top Bottom