Bei ya chini kwa Gari la kawaida la Kutembelea, yaweza kuwa kiasi gani?

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
3,397
2,000
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
Gari linatembea kwani lina miguu???
 
Top Bottom