Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

Njooni inbox niwarushie link ya app unalipia 2000 kwa wiki unaangalia channel zaidi ya 86 muhimu za Azamtv na DSTV nyumbani kwako..mimi nina Azam tv na DSTV sijuagi hata bei za vifurushi vyao hiyo ni kazi ya wife,mimi nadeal na hii App ofisini kwangu tu..Lakini kwa harakaharaka hizo bei rahisi sana kwa mwezi
 
Nakuja unipe hiyo link ya App.
 
Bosi, uko siriaz?
 
Ap inafanya kazi na smart tv au simu tu?
 
Iweke hapa mkuu kwa faida ya wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…