Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
"The Bold" akiandika Makala, nikiwa na Free Time nasoma zote huyu jamaa ameshindikana nampa marks za kutosha.
THE SNIPER.
THE SNIPER.
Haa ha ha ha, wakili atakua nani mkuu!?The Bold niko mbioni kuelekea mahakamani ili nijue kwa nn huNitag?
Mkuu,kama wewe ni wa kiume basi usiweke tena Tarakilishi mapajani usawa wa nanihii kwani joto lake imethibitika linaathiri nguvu za nanihii.nimemaliza kula ubwabwa wa mama jogookoko, naoga kwanza, nimeishatoa amri watoto wote kulala,maana sitaki kelele na bugdha then navuta glasi ya sharubati tarakilishi pajani, nianze kukusoma
Asante sana chief... am back
Welcome back buddaAsante sana chief... am back