Behind the curtain: September 11

Wadau nimesoma vizuri uzi ulioandaliwa na The Bold juu ya namna Osama Bin Laden alivyokamatwa na jinsi Serikali ya Marekani ilvyokwepa kuipatia Serikali ya Pakistani taarifa ya operesheni iliyopelekea kukamatwa kwake.

Hata hivyo kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika Serikali ya Pakistani kupitia idara yao ya Ujasusi walikuwa wakijua Osama yupo wapi na ukweli walikuwa wakimshikilia tokea mwaka 2006. Osama Bin Laden alikuwa akishikiliwa (under house arrest) karibu na makao ya kambi ya kijeshi na Ujasusi.
Osama katika kipindi hicho chote na kwa mujibu wa Afisa Mwandamizi Mstaafu wa Ujasusi wa Marekani alikuwa ni mgonjwa na alikuwa akipewa misaada ya kifedha na baadhi wanafamilia wa Saudi Arabia huku akiendelea kutunzwa na Idara ya Ujasusi ya Pakistani(ISI)

Aidha kwa mujibu wa vyanzo hivyo Serikali ya Marekani ilifahamu kuhusu kuwepo kwa Osama nchini Pakistani kupitia kwa Afisa mmoja wa Ujasusi wa Pakistani ambaye alikuwa amestaafu na sio yule mtu wake wa karibu (courier)
Afisa huyu mstaafu wa Idara ya Ujasusi ya Pakistani alikwenda katika ubalozi wa Marekani Islamabad Pakistani na kujitolea kuwapa taarifa za wapi alipo Osama. Aidha afisa huyu aliomba apewe dola za kimarekani milioni 25 kabla ya kutoa taarifa hizo nyeti. Afisa huyo alifanyiwa vipimo maalumu na kufafulu (polygraph tests) na baada ya hapo ndipo Serikali ya Marekani ilianza kazi ya kumfuatilia Osama huko Abbottabad Nchini Pakistani.
 
nimemaliza kula ubwabwa wa mama jogookoko, naoga kwanza, nimeishatoa amri watoto wote kulala,maana sitaki kelele na bugdha then navuta glasi ya sharubati tarakilishi pajani, nianze kukusoma
Mkuu,kama wewe ni wa kiume basi usiweke tena Tarakilishi mapajani usawa wa nanihii kwani joto lake imethibitika linaathiri nguvu za nanihii.
 
Am Not sure kama Osma Bin Laden aliuwawa! Nakumbuka tukio hilo vizuri kipindi Niko chuo....Baada ya tukio hilo Picha za aliekua anasemekana Osama kapigwa risas na kuuwa zilianza kuvujua from MSM or mainstream Media km CNN,SkyNews,BBC ambazo zinaeleweka kwa propaganda cha Ajabu Television ya IRAN [HASHTAG]#PressTV[/HASHTAG] wakaonesha hizo picha kua zipo muda mrefu sana na sio OSAMA km tulivoaminshwa na MSM kwan zilikua ni PhotoShop za CIA kuuaminisha ulimwengu km kawaida yao baada ya apo PressTV ikazuiliwa Mara ikaondolewa kwenye satellite ktk nchi za US na Ulaya maana ilikua inaziaibisha agenda za wazungu... [HASHTAG]#Edward[/HASHTAG] Snoden mwana intelligensia upande wa Cyber baada ya Ku defect na kuhamia Russia alitoa siri nyingi sana na mipango ya CIA iliyokua inafanya kwa serikal ya Russia na alisema US hawajamuua [HASHTAG]#Osama[/HASHTAG] zile picha ni uongo ikasadifiana na Wana intelijensia wa Iran kua Osama hajauwawa....Lazima Tujiulize kwann Movie nzima ya kumkamata Osama haijaoneshwa? Kwann US wakimbilie harakaharaka kusema kua wamemzika Baharini kwa Taratibu za dini ya Kiislamu nauku waislam hawaziki Bararini! Kwann US baada ya usumbufu wote ule tunategemea wangemuonesha OSAMa live kwenye makumbusho kua ndo hili gaidi kila mtu akashuhidia....Kwa minajiri Hiyo Osama inasemekana either alikufa kwa maradhi miaka ya nyuma au alikamatwa na yupo hai....Kuhusu Sep11 hili tukio ni lakupangwa na wahusika wakuu ni US,Israel na Saud Arabia hawa ndo walio injinia kila kitu kwan kwa sequrity ya viwanja vya ndege na ujasusi wa US tusingetegemea ayo kufanyika very smoothly.... Kabla ya Trump kuingia Madarakan aliituhumu Saud Arabia moja kwa moja km mihusika mkuu maana kati ya magaidi wote hijackers 11 au 19 kati yao walikua RAIA wa Saud Arabia wachambuz wakajua sasa mpango wa kuivamia Saud umefika lakin ktk list ya uvamiz Saud haijafikiwa ila Iran kwanza so Saud ikawa under pressure ikaanza kujisogeza Russia baada ya Trump kua Rais ajabu ziara yake ya kwanza akaitembelea Saudi nchi ambayo aliituhumu....Juzi serikal ya US kupitia CIA wakaanza Ku release classified Documents ambazo wanasema walizikuta kwa Osama na wakaituhumu moja kwa moja IRAN kua alikua na mafungamano na OSAMA/Al qaeeda kua walikua na mpango wakuishambulia Saud na vituo vya kijeshi vya US vilivyoko mashariki ya kati tukaona Presha na km kawaida MSM vituo vya vya habari za kipropaganda vikaituhumu IRAN uku US,SAUD,Israel,France wakiishutumu IRAN kwa kufadhiri ugaidi lakin kwakua IrAn nae ana vituo vyake vya Habari nae akapambana tuakashangaa US wakaifutia usajir Russia Today au RT uko Marekan maana vyote hivi vinafichua hadaa za MSM kama walivoaminisha ulimwengu kua IRAK and Sadam Hussein ana miliki silaha za maangamizi na akavamiwa...Sasa Republican ipo madarakan na hawa wanamafungamano na Jews wa Israel ili kutimiza agenda za Israel middle East ni kuzivamia na kuharibu nchi hizo uku Israel ikipewa $3Bil US annually as military aid na US ili iwe super power na ndo maana unaona US kajipenyeza Syria na anasingizia karuhusiwa na UN japo UN wamekana hivyo alie baki mkorofi ni IRAN ndo maana unaona Israeli anashawishi US aendelee kumuwekea vikwazo vya silaha na kiuchumi japo hawa waajemi wa Iran ni wabishi mno wakaanza kutengeneza silaha zao wakaanzisha makundi km Hezbollah na wali equip kisilaha vizuri na lipo pembezon mwa Israel...
 

Similar Discussions

162 Reactions
Reply
Back
Top Bottom