New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,579
- 3,204
Yeah ,ni kama ile ya Amsterdam bombing ambayo walikuja kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe,ni false flag terror attack ikiwa imezungukwa na mysteries nyingi ambazo kwetu ni ngumu kidogo kung'amua ila wenyewe wanaopanga wanatulamba vichogo.Bush did it.ile ilikua ni controlled demolition.
Kuna kipindi jeshi tena ili lipate sababu za kuivamia Cuba walitaka kuandaa shambulio ndani a marekani ili wawasingizie wa Cuba.JFK alikataa hii.Mwanzoni watu walisema ni conspiracy theory lakini badae through declassified intel ikajulikana ilikua kweli.