Behind the curtain: September 11

Mkuu the bold unapoahidi kitu timiza kama umepata tatizo sio mbaya kutujulisha unapokua kimya hiv unatupa hofu wadau wako hatujui umepata tatizo au la.
 
Jamaa haonekani tena humu, nina wasiwasi huenda akawa ameitwa na ameshikiliwa kule SENTUROOO kwa mahojiano kidogo juu ya uanachama wake JF, mada za intelejensia na maisha yake kwa ujumla.
 
Mkuu heshima kwako kama kawaida. Naona umenimention ila notification alert sipati sijui tatizo liko wapi?
Big up sana mkuu kwa makala zako.
 
Tatizo mnamsifia kupitiliza hivyo jamaa kavimba kichwa ndo maana ameanza uswahili wa kuleta thread nusunusu tena na hata akiahidi siku ya kuiendeleza hatimizi ahadi maana keshavimba kichwa tena hata wafuasi wake makini wameanza kupungua wamebaki "akina unitag" tofauti na zamani maana anafanya uhuniuhuni tu
 
kuweni wavumilivu naye ni binadamu sio malaika wala roboti inawezekana kapata matatizo.vuta subira
 
Tatizo mnamsifia kupitiliza hivyo jamaa kavimba kichwa ndo maana ameanza uswahili wa kuleta thread nusunusu tena na hata akiahidi siku ya kuiendeleza hatimizi ahadi maana keshavimba kichwa tena hata wafuasi wake makini wameanza kupungua wamebaki "akina unitag" tofauti na zamani maana anafanya uhuniuhuni tu
lijamaa nw limevimba kichwa,analeta vipande ving km series za kibongo!
 
Back
Top Bottom