Begi la askofu mgonjwa

Begi la askofu mgonjwa

Waebrania 13:8

Yesu Kristo ni yeye yule,jana na leo na hata milele.

Amen

Cyo kwa gwajima maana ilishatabiliwa kutakuwa na manabii wa uongo ambao watatumia jina la MUNGU na kwa sasa wapo wengi sana,wanatumia jina la MUNGU lakin wanatumia mazingaombwe makanisani
 
Mie sioni cha ajabu ya ili begi ,police watwambie kama hiyo bastola anamili hisipo halali?maana mtu yupo hospital kwahiyo aliyeeenda kuchukua begi inawezekana alibeba tu bila kutoa vitu vilivyokuwa ndani,hapa police watwambir uhalali wa hivyo vitu .
 
Kwani alipekuliwa mtu au begi?

Mtu aliyeripoti polisi baada ya kuitwa kwa tuhuma za kuongea lugha ya matusi dhidi ya binadamu mwenzake...itakuwa ajabu kama polisi walienda nyumbani kwake kupekua nyumba yake...'ili kupata ushahidi wa maneno/matusi aliyoongea'...

Lakini kwa polisi ya Tanzania inawezekana.
 
Sasa ndio nimejua why 'Emmanuel Mbasha' alikuwa analalamikia mtaani tu na kwenye social media, hakuthubutu kumsogelea huyu Askofu mgoni wake...tungeshamzika!
 
imeandikwa utawajua kwa matendo yao.
''samba mapangala aliimba''
............wake za watu kutongoza imejulikanaaaa.............
..........jihadhari utaishia.......
Shimo la tewaaaaaa.

Ndugu umenikumbusha mbali sana kuhusu uyu samba mapangala dah,nakumbuka île dunia tunapitaaaaa kila kitu kitabakia
Nimekumbuka mbali sana
 
Mie sioni cha ajabu ya ili begi ,police watwambie kama hiyo bastola anamili hisipo halali?maana mtu yupo hospital kwahiyo aliyeeenda kuchukua begi inawezekana alibeba tu bila kutoa vitu vilivyokuwa ndani,hapa police watwambir uhalali wa hivyo vitu .

Mtu aliyeripoti polisi baada ya kuitwa kwa tuhuma za kuongea lugha ya matusi dhidi ya binadamu mwenzake...itakuwa ajabu kama polisi walienda nyumbani kwake kupekua nyumba yake...'ili kupata ushahidi wa maneno/matusi aliyoongea'...

Lakini kwa polisi ya Tanzania inawezekana.

Tuwe wadadisi kidogo hili begi lilikamatwa hospital usiku wa manane na ishu ya kumtorosha ilikuwa kweli kabisa LAKINI polisi ilihusika kuusuka huu mpango(kwa agenda isiyojulikana) halafu ije iwatie hatiani hawa jamaa, kuna sauti zimerekodiwa! Usiniulize nimejuaje subiri muda ufike
 
Ziweke hizo sauti,tukuamini

Sio kazi yangu na sio wakati wake na si lazima uamini! Una akili za kutosha kuchambua mambo angalia LA uongo ni lipi lipotezee na la ukweli ni lipi lichukue
 
Tuwe wadadisi kidogo hili begi lilikamatwa hospital usiku wa manane na ishu ya kumtorosha ilikuwa kweli kabisa LAKINI polisi ilihusika kuusuka huu mpango(kwa agenda isiyojulikana) halafu ije iwatie hatiani hawa jamaa, kuna sauti zimerekodiwa! Usiniulize nimejuaje subiri muda ufike

Which means idea 'ya kumtorosha' ilisukwa kwa polisi...kwa ajenda isiyojulikana. Then hapo ndio naanza kuamini kuwa kuna zaidi ya 'matusi kwa Pengo' kwenye sakata hili.
 
Ni kweli.Ila la uongo usimshirikishe mtu
 
"RUDISHA UPANGA MAHALI PAKE,WOTE WANAOCHUKUA UPANGA WATANGAMIA KWA UPANGA" Matayo 26:52 Mkristo halisi hawezi kujilinda KWA silaha."Usiue" biblia inasema
 
hUNA LOLOLTE ,BIBILIA HAINUKULIWI HIVO ,WAHUNI NYIE ,MANABII WA UONGO ! YALE SIO MAHUBIRI YA ASKOFU HATA KAMA PENGO ALIKOSEA!
ISAYA 54:17

Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.
Huu ndiyo urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi,asema Bwama
 
Na waangefanikisha kumtorosha mngemuokotea mabwepande na kucha zote hana
 
Kwani mtumishi wa Mungu ndo ahitaji kua na ulinzi binafsi (kumiliki siraha)?

Kwa kua ni mtumishi wa Mungu hata kama watu wabaya (wasiotumia nguvu za giza) mfano majambazi wakimvamia akae tu atulie asubiri nguvu za Mungu pasipo kujihami eti kwa kua ni mtumishi wa Mungu?

Mi nadhani wanastahili kumiliki siraha kwa ajili ya ulinzi, kwa sababu watu waovu hawachagui mtu wa kumdhuru. Tushaona watumishi wa Mungu wakimwagiwa tindikali, kwa hiyo wakati hayo yanatokea nguvu za Mungu hazikuwepo?
 
Mi bado sijaelewa, kwani kosa la Ngwajima ni nini mpaka anakutana na zahama yote hii?
 
Kumbe wala hakuwa amepoteza fahamu,hilo bag lisingeenda hospital bila maelezo yake kamili kwa walinzi wake.

Hayo maelezo aliyatoaje wakati alizimia na alikuwa ICU acheni kupika uongo.
 
Back
Top Bottom