Delemy 004
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 407
- 145
Mimi mchango wangu, siwezi kuchangia kama hao wengi walio tangulia, inaonekana wanafanya ushabiki Zaidi kuliko kutumia akili zao vizuri, najua ni akili ndogo lakini mlipaswa kujiongeza kidogo
Nani kati yenu asiejua ubabaishaji wa jeshi letu polisi ?
Mtu kama Gwajima na utajili alionao kuna ubaya gani kmiliki bastola, kwani mpaka tushangae hilo wanao toa kibali cha kumiliki bastola kuna mipaka kwa wachungaji ?
kumbe utajiri ni wa gwajima!. nilidhani ni wa kanisa. kumbe anakusanya mali kwa ajili yake na si kanisa!