Huyo atakuwa jambazi tu,
Hata mpangilio wa begi ni wa kihuni kihuni tu.
Mgonjwa inaonekana yuko tayari tayari kwa KUPELEKWA INDIA kama hali haitengamai maana naona PASIPOTI iko juu kama kofia......
Haamini nguvu ya mungu mpaka anatembea na bastola
Maandiko matakatifu yanapingana na mienendo ya huyu tapeli.
Huyo atakuwa jambazi tu,
Hata mpangilio wa begi ni wa kihuni kihuni tu.
Dogo huoni hiyo picha imepigwa baada ya polisi kupekua begi...inaonyesha wewe ni muhuni na jambazi na huo ndio mpangilio wa nguo katika bag lako
Nadhani huyu Gwajima ni tapeli la kimataifa na inawezekana ana biashara nyingine haramu anafanya kwa mgongo wa kanisa. Lazima kuna kitu polisi wamemshtukia ndio sababu wanajaribu kumhoji na lazima tu ukweli utajulikana.
Naomba nikukumbushe sababu ya kuhojiwa kwa Gwajima ni tuhuma za muislamu mmoja aliyedai kukwerwa na makemeo ya Gwajima kwa pengo...
Hayo masuala mengine yameibuka ghafla na wanatupa watanzania mashaka kama wako focused na kazi yao au la ama wana migongano mingine na mtumishi huyo wa Mungu ambayo wameshindwa kufunguka kwetu...
Ngoja tuone mwisho utakuwaje
17Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwasana machoni pa BWANA, kwa kuwawaliitendea dhabihu ya BWANA kwa dharau.ISAYA 54:17
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.
Huu ndiyo urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi,asema Bwama