Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,576
Mimi mchango wangu, siwezi kuchangia kama hao wengi walio tangulia, inaonekana wanafanya ushabiki Zaidi kuliko kutumia akili zao vizuri, najua ni akili ndogo lakini mlipaswa kujiongeza kidogo
Nani kati yenu asiejua ubabaishaji wa jeshi letu polisi ?
Mtu kama Gwajima na utajili alionao kuna ubaya gani kmiliki bastola, kwani mpaka tushangae hilo wanao toa kibali cha kumiliki bastola kuna mipaka kwa wachungaji ?
Ndio hapo tunapopataka hasaa, atuambie huo utajiri mkuuubwa namna hii kaupata wapi?