Beauty with brain wanavyopangwa

Beauty with brain wanavyopangwa

Mkuu Elli,sio wanasiasa wa bongo tu,bali kila pembe ya dunia hawa watu wanafanya hivyo.Kuna kitengo kwenye NSA na CIA ambazo wana recruit wadada wa namna hiyo, "Economic Hitmen/Hitwomen". Wana akili sana na wanafundishwa kama alivyosema mkuu Sky Eclat.
Tafuta kitabu kinaitwa Confessions of an economic hitman cha John Perkins,utaona jinsi US na mataifa makubwa ya magharibi yanavyotumia mbinu hizi.


Naomba unielekeze niende namie nimependa kazi husika
 
Sasa tabu yote ya nini?Huwezi kutafuta maisha kwa njia nyingine mbadala?
Hee hujaona hapo mkwanja mrefu wa mpaka £200,000? Au wewe umezoea jembe??
 
Kuna movie moja inaitwa Naked weapon inafanana na hii story ila yeye katekwa then akaenda kufunzwa martial art
Yeah I have seen that movie actually is of the best
The trainings za yule Maza dah
But wananikosha the way wanavyoua clients bila weapons
 
Kwahiyo hapo shule inakuwa imekwisha?

Kama kichwa cha habari kisemavyo Beauty with Brain. Ni kazi kama part time job nyingine yeyote lakini mkwanja mrefu, training unaweza kuifanya summer, meanwhile madame anakupa ile light training kama table manners, how to act like a lady ect. Wanafunzi wengine wanatumia hii chance kutochukua student loan, anamaliza degree debt free.
 
Yah ni mbaya sana unakaa na wenzako kwenye meza kumbe wanajua mpaka boxer uliyovaa mwenyewe unajiona umeninga tie saafi, wakipress maswali unashangaa zile strong hold point zako zote wanafahamu unabaki yes yes yes.
Aiseeeh ! Buzwagi ilikuwa hivi hivi, yule Muhaya kapelekwa London akasaini tu kila karatasi mpaka autography daaah !
 
My take, kusign mikataba waachiwe wanawake, hatushawishiki kirahisi.
Hapo waende jinsia zote mbili wakiwa na mamlaka sawa ya kufanya maamuzi. Kama kidume kitacheleweshwa basi mwanamke afanye maamuzi.
 
Training ni ndefu, unafundishwa aina ya mivinyo, ujue majina ya champaign na vikolombwezo vingine, unaweza kufundishwa michezo kama horse riding, golf, tennis ect, ili ujue ku spend time na client tofauti, unafundishwa table manners. Kwakifupi client hatakiwi ajue kama amekaa na malaya wa kulipwa.
Sasa kama Kuna vitabu tayali vimeandikwa, mtu akiona hali kama hiyo, si atastukia kuwa yupo na mtu wa namna gani
 
Sasa kama Kuna vitabu tayali vimeandikwa, mtu akiona hali kama hiyo, si atastukia kuwa yupo na mtu wa namna gani

Tuna tatizo la ushamba pia, exposure inasaidia, hii mitandao ya jamii itusaidie waliotoka tujuzeni wenzenu mambo niaje huko. Washkaji zangu walienda Marekani kwenye mkutano. Waliambiwa wakila katika hoteli waliofikia ni ghali kidogo hivyo baada ya break fast kama lunch na dinner wanaweza kula kwenye migahawa itawasaidia. Ilikuwa winter, ile baridi wanazunguka kidogo wanakuta mgahawa, walifanya hivyo kwa siku tatu, kabla hawajakutana na weiter anaewasave breakfast ndiyo wanagundua kumbe ni mgahawa wa hoteli ile ile lakini wanauzunguka kwa nyuma.
 
Back
Top Bottom