Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Uko sahihi kabisa.Hii story inafanana sana kwa kiasi fulani na Korean series moja hivi inaitwa LOBBYIST
Pia Myung Wol The Spy inafanana kwa kiasi kikubwa na hili alilolisema mtoa mada.
Kama umewahi kuiona ni bonge la series.