aisee hizi story nyingi naona kwa movies..kumbe kweli mkuu? basi hata Tz yaweza tumika hii natukanufaika na mali zetu! Naiman hawataweza kuwafungia maana hii si SANAA
Yan mkuu nachosema kina uhakika hapa Tz wapo vijana wazuri na wenye shape nzuri km kigezo no 1,pia wanajiweza kwa lugha mbali mbali wapoo wapooo..sema michongo km hii ndo bado haijastukiwa! ila naamini wapo sana tu! Tz kuna kila kitu! sema havitumiki ipasavyoUna uhakika hawa ma model wenu wanaweza kupambana? sio wapoteze pesa ya serikali bure.
Yan mkuu nachosema kina uhakika hapa Tz wapo vijana wazuri na wenye shape nzuri km kigezo no 1,pia wanajiweza kwa lugha mbali mbali wapoo wapooo..sema michongo km hii ndo bado haijastukiwa! ila naamini wapo sana tu! Tz kuna kila kitu! sema havitumiki ipasavyo
Umesema hivyo ghafla nimevuta Picha ya masogange ndo anamuhandle diplomat flani hivi ametua bongo kusaini mikaratasi!! kwanza kabisa nahisi atatoa simu appige selfie aweke instagram.. Warembo wetu bongo hapo kwenye 'beauty' wako vizuri, tatizo hicho kipengele cha 'brains'Una uhakika hawa ma model wenu wanaweza kupambana? sio wapoteze pesa ya serikali bure.
Nimejifunza kitu hapa,asante.
Hii nimekuwa nikiona katika series/movies...
Kumbe haya ndiyo yaliyoko nyuma ya pazia?
Asante Sky Eclat.
Wajue kutunza siri, siyo kesho tunayasoma kwa Shigongo.
Kweli pesa noma watu wanafikiri sana juu ya kumuibia mtu akishangaaa kidogo anapigwa noma sana hapa wabongo tumelizwa mno kwa staili hii
Na IQ yako ndogo na university kama hospitali kwenda kupima ukimwi. Oh! we understand now......go ahead telling other people storyNimezidi miaka 50.
Kuna kitu kinaitwa "Economic Espionage", taasisi za wenzetu za ujasusi wanaaitumia sana hii kitu,hapa Mh. ZZK nakumbuka aliwahi kuiongelea kwamba vijana wetu wa "kampuni" wafundishwe na kuifanya inavyostahili. Ina manufaa makubwa sana kwa nchi zetu ambazo mabeberu wanakuja kutunyonya kwa jina la wawekezaji,wahisani na washirika wa maendeleo.
Kwahiyo hapo shule inakuwa imekwisha?Mara nyingi hawa wanakuwa wanafunzi and they are doing these for funny. Hawa ndio wale mnaowaoa mkijisifu vifua mbele kuwa umeoa a decent girl.
Serikali ndio inatakiwa kuchangamka na kuwaandaa vijana kama serikali uingereza inavyofanya.Yan mkuu nachosema kina uhakika hapa Tz wapo vijana wazuri na wenye shape nzuri km kigezo no 1,pia wanajiweza kwa lugha mbali mbali wapoo wapooo..sema michongo km hii ndo bado haijastukiwa! ila naamini wapo sana tu! Tz kuna kila kitu! sema havitumiki ipasavyo
Inabidi watia saini katika mikataba wapelekwe wakiambatana na wake/waume zao ili kuepuka vishawishi. Sijui kama utawala wa sasa utakubali, huyo afisa pekee ni nongwa, tunaokoa TZS milioni 10 kwa gharama ya mabilioni.Yah ni mbaya sana unakaa na wenzako kwenye meza kumbe wanajua mpaka boxer uliyovaa mwenyewe unajiona umeninga tie saafi, wakipress maswali unashangaa zile strong hold point zako zote wanafahamu unabaki yes yes yes.