Beauty with brain wanavyopangwa

Beauty with brain wanavyopangwa

Wale wadada wanaopata client wa kiarabu bwana, wanakwambia jamaa hawanywi pombe, mara nyingi wao wanapenda matunda na maji, lakini wanaweza kusoma kitabu siku tatu hamtoki nje. Let say ameingia Friday, mkutano wake ni Monday, unakabidhiwa client Friday hiyo akiingia.
 
Mmmh ina maana hapo wakina dada wanatumia na papuchi ili kumshawishi mteja
Wewe jamaa.

Unanikumbusha kuna pande za kufanyiwa masaji/kukandwa, hapo hapo unauliziwa kali na anaekufanyia masaji.

Kama uko tayari kuna kachumba kaofisi humo humo mnaingia mnamalizana, ila dau limeamka kidogo.

Sababu wanaofanya hizo shughuli sio choka mbaya, halafu matawi.

Na wako kikazi zaidi, si kimapenzi, na namba za simu hawatoi.

Bembeleza utakavyobembeleza, namba za simu hawatoi ng'oo.

Na mipira wala usisumbuke wanayo wenyewe
 
Nono hiyo haikuwa heading yenyewe, ninadhani heading ilikuwa based with the greater IQ level in modelling agency.
Ilimaanisha wale wazuri wanasecure better deals.

gazeti lipi?
 
Mkuu Elli,sio wanasiasa wa bongo tu,bali kila pembe ya dunia hawa watu wanafanya hivyo.Kuna kitengo kwenye NSA na CIA ambazo wana recruit wadada wa namna hiyo, "Economic Hitmen/Hitwomen". Wana akili sana na wanafundishwa kama alivyosema mkuu Sky Eclat.
Tafuta kitabu kinaitwa Confessions of an economic hitman cha John Perkins,utaona jinsi US na mataifa makubwa ya magharibi yanavyotumia mbinu hizi.
Naomba link ya hicho kitabu kama unayo please
 
Ukifika level hiyo sasa, kabla ya kukutana na client, unapelekwa maduka makubwa kama Harrods au Selfridges, unapewa appointment personal shopper wako, unachagua vitu unavyohitaji, the cost is being taken care of.

Kama kuna dili sasa serikali inataka kusign mkataba, unapelekwa kwa huyo cleint, unamshawish aweze kukueleza uzito wa ule mkataba uliomleta, akikueleza, kesho unawapa info wazee wa kazi. Wanajua jinsi ya kumhandle jamaa zaidi wawini dili.
hapa unaweza kuchukua mpaka £200,000 kwa client mmoja.
kuna sehem nilisoma wanasema Viongozi wengi wa bongo wanafanyiwa hii,unaletewa mtoto mzuri wa kulala nae kesho asubui atakuchelewesha hili ukifika usaini mikataba bila ya kuisoma
 
Wewe jamaa.

Unanikumbusha kuna pande za kufanyiwa masaji/kukandwa, hapo hapo unauliziwa kali na anaekufanyia masaji.

Kama uko tayari kuna kachumba kaofisi humo humo mnaingia mnamalizana, ila dau limeamka kidogo.

Sababu wanaofanya hizo shughuli sio choka mbaya, halafu matawi.

Na wako kikazi zaidi, si kimapenzi, na namba za simu hawatoi.

Bembeleza utakavyobembeleza, namba za simu hawatoi ng'oo.

Na mipira wala usisumbuke wanayo wenyewe

Kwa mwendo huu sasa ndiyo maana mikataba mingi ya kibongo unajiuliza hivi waliosaini walifikiria nini? Kumbe wanasaini wakiwa kwenye PAPUCHI
 
Back
Top Bottom