Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
kumbe ndo maana mpaka leo tunaingizwa mikataba ya ki Carl Peters!!
Ndio nilikuwa naona maruweruwe ,kumbe ni kufundishwa professional prostitution,sawaTraining ni ndefu, unafundishwa aina ya mivinyo, ujue majina ya champaign na vikolombwezo vingine, unaweza kufundishwa michezo kama horse riding, golf, tennis ect, ili ujue ku spend time na client tofauti, unafundishwa table manners. Kwakifupi client hatakiwi ajue kama amekaa na malaya wa kulipwa.
Hata hizo pesa za MCC ukisoma kile kitabu cha Confession of Economic Hitman utajua kuwa ndio hizo project wanazotumia marekani kunyonya nchi hizi masikini.kumbe ndo maana mpaka leo tunaingizwa mikataba ya ki Carl Peters!!
How old are you? I find you interestingDo you actually know my age?
Ndio maana kuna training inayomfanya mtu aoperate beyond all of that without arousing suspicions or doubt. Na ndicho kinachompatia mtu credit katika fani.Sasa kama Kuna vitabu tayali vimeandikwa, mtu akiona hali kama hiyo, si atastukia kuwa yupo na mtu wa namna gani
niPM picha yako kama hautojaliNimezidi miaka 50.