Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,773
Kuna issue niliikuta kwenye gazeti ilikuwa 2013 lakini sikumbuki ni gazeti gani lakini lilikuwa linatoka nchini Uingereza. Baada ya boss wetu kurudi, alilisoma na kuliacha mezani, kwa kupenda exposure nilisoma kila ukurasa. Hii topic ilichukua karibu kurasa mbili.
Ni kuwa wanakwenda kwenye vyuo vikuu watu na flyers wanasema wanatafuta models a pay is good. Wengi tunafahamu jinsi kuwa mwanafunzi pesa inavyobana. Na wanafunzi wa university mara nyingi wanakuwa mbali na familia zao.
Ukikubali kujiunga na modelling agency mnaitwa kwenye interview, katika usaili huo, wanachuja wale watakao pata £100 kwa saa kwa kazi ya ku advertise nguo, wanawekwa kando, kuna wale wenye uelewa mzuri zaidi, wanapewa mpaka £500 kwa siku, wanaambiwa kazi yao ni ku escort business men.
Hayo yote yanahusishwa na urembo pia, sasa kuna wale wenye IQ kubwa, wale wanapelekwa kwa madame for further training. Mara nyingi hawa ni wale wanoongea lugha zaidi ya moja. Wanafundishwa jinsi ya kumhandle mwanaume. Kutokana na kichwa chako kilivyo kizuri, wanalipwa £5,000 -10,000 kwa siku. Hawa wanawekwa kwa top business men.
Unapewa profile ya client, wanakujenga jinsi ya kuhold conversation, wanakuuliza kama una idea zozote katika field ya client, kama huna unaanza kupewa magazeti kama The Economics, Financial Times, Science World, etc.
Kama mnapenda nitaendelea.