Njoo Ukuze Biashara Yako Na Meta Ads

Njoo Ukuze Biashara Yako Na Meta Ads

Semrah

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
592
Reaction score
817
Biashara nyingi hazifeli kwa sababu bidhaa au huduma zao ni mbaya.

Zinafeli kwa sababu wamiliki wake hawajui jinsi ya kuwafikia watu sahihi — watu wenye uhitaji wa kweli na uwezo wa kununua.

Watu wengi wanabonyeza kitufe cha “Boost Post” kwa kubahatisha.

Unatumia 20k, 50k, hata 100k kwenye ads…
Lakini unachopata ni likes, comments, na watu wa kuuliza “Bei?” kisha wanatoweka.

Sales? Hakuna.

Kwanini?

Kwa sababu Meta Ads sio tu kubonyeza kitufe cha Boost.

Ni saikolojia.
Ni mkakati (strategy).
Ni kuelewa jinsi mteja anavyofikiri kabla hata hajanunua.

Kumbuka jambo hili:

Meta Ads is a multiplier.

Kama mkakati wako ni sifuri (0), hata ukiweka ad-budget ya 100,000 TZS, matokeo bado yatakuwa sifuri.

Baada ya miaka ya kufanya kazi na mifumo ya kidijitali pamoja na mikakati ya kukuza biashara, nimegundua ukweli mmoja mkubwa:

Budget ndogo yenye mkakati sahihi inaweza kushinda budget kubwa isiyo na mkakati.

Ndio maana nimefungua nafasi ya kipekee ya:

🔥 1-on-1 Meta Ads Private Intensive

Nitakufundisha personally, hatua kwa hatua, tukifanya kazi kwenye biashara yako:

✓ Ad Creation — Jinsi ya ku-set ads kwa usahihi kuanzia mwanzo (sio kwa kubahatisha)

✓ Offer Psychology — Jinsi ya kutengeneza offer ambayo mteja anashindwa ku-ignore

✓ Smart Budgeting — Kupata matokeo makubwa hata kwa budget ndogo

✓ Hyper-Targeting — Kuwafikia watu wenye nia halisi ya kununua

✓ Money Leaks — Kubaini makosa yanayopoteza hela zako za matangazo

✓ Consistent Client Flow — Mfumo wa kupata leads na wateja kila siku

Haya si mafunzo ya nadharia.

Hii ni Practical Mentoring 100%.

Tutafanya pamoja, moja kwa moja, tukilenga biashara yako.

━━━━━━━━━━━━━━
OFA YA MUDA MCHACHE
━━━━━━━━━━━━━━

Kwa wale wanaochukua hatua haraka:

Uki-book nafasi yako kuanzia sasa hadi kesho, tarehe 17 Juni, utalipa 150,000 TZS tu

Badala ya 200,000 TZS

⚠️ Nafasi ni 5 tu wiki hii.

Nimeweka idadi ndogo ili kila mtu apate muda wa kutosha, support ya karibu, na usimamizi wa moja kwa moja.

Baada ya slots zote 5 kujaa — au baada ya offer kuisha — bei itarudi 200,000 TZS.

Kile utakachopata:

✓ Live 1-on-1 Online Session
✓ Direct Support & Implementation Guidance
✓ Personalized Action Plan
✓ Bonus: Exclusive Strategy Ebook

Kama umechoka “kuchangia” hela kwa META bila matokeo, na uko tayari kujenga mfumo unaotabirika wa kupata wateja na mauzo—

Nitumie neno:

👉 META

📩 Inbox au
whatsapp: +255 745 000 008
 
Back
Top Bottom