Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

beat kali za majani of all time ni hizi na hazitakuja kufuikwa: Nipe 5 (Daz baba) na Latifah/Si ulinambia (nimemsahau)
 
prof jay zali la mental
ngwair mikasi
park clain (suma lee n cp) nafasi nyingine
madee kazi yake mola
ngwair,fa,jide sikiliza
 
Ndo godfather wa bongo flava. Hizi ndo midundo 5 bora toka kwa pfunky.
1.mikasi_ngwair
2.joanita _pingu na deso
3.cheza kwa step_ jay moe
4.bongo.com_ tng squad
5.mwanza mwanza _fid q
huu ni mtazamo wangu. Upi wako. Welcome

Mkuu haupo serious unaanzaje kuuacha wimbo kama hakuna kulala, Mugambo, mtoto wa kiume ya geez mabovu
 
1.mikasi-ngwair
2.nipe tano-daz baba
3.twenzetu-wanaume
4.chagua moja-fid q
5.latipha-mb dogg
ni mtazamo wangu[emoji1] [emoji9]
 
Deo Corleone

Huwezi kutaja biti kali za P-Funk Majani bila kuitaja Mugambo ya Sir Kassim Nature Kiroboto.

Chachu Ombara njoo uongeze orodha hapa!
 
Last edited by a moderator:
P funk mkongwe bado yupo vzr mbona goma jipya la Fid q bongo hiphop katengeneza bit ngoma mpya ya Young killer Feat Fid.q na belle 9 inaitwa 13 ni mkono wa Majan pia
 
Jamaa alikuwaga nyoko sana, maneno hayatoshi kumuelezea.Katengeneza beat nyingi kali, kwa harakaharaka tu nazitaja;

1. Mambo ya Pwani-Solo
2. Niko Bize-Jafarai
3. Twenzetu-Chege,Temba
4. Mayowe-Afande
5. Kama unataka Demu-Jmo
*6. Kibanda Cha Simu-Sina hakika katengeneza nani kati ya yeye na Soggy but hii beat ni msiba


#Ntakuja kuendelea na list maana 5 hazitoshi
 
Hivi beat la TUNASONGA-Kikosi cha Mizinga hakutengeneza Majani?
 
Wapige weeeeeeeeh! Beat la Mikamwamba mtoto wa geti kali na ispt Haroon. Itabaki kuwa greatest of all time...afu jamaa nasikia alimgongea free boat tu.
 
1. Nini mnataka mazee- Pig black

2. Kamua-TMK

3. Mtazamo- Afande

4. Mtoto Idd- Nature

5. Joanita
 
Back
Top Bottom