Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

1. Nini mnataka mazee ya pig black
2. Anakuja ya sister p
3. Namba nane ya daz baba na fid
4. Mkasi ya ngwear
 
In no particular order:-

1. Mambo ya Pwani - Solo Thang
2. Nicheki - O Ten
3. Chagua Moja - Fid Q Feat Black Rhino, Langa, Adili & TID
4. Kazi yake Mola - Madee Feat Mandojo na Domo Kaya
5. Mapato - Nature Feat Bamboo & K South

lakini mkuu umetubania bwana ungetuambia tutaje ngoma 50 kali za Majani ungezipata bila tabu. The guy had so many hits.
 
Pfunk aliku n.yoko YANI HYO MAPATO-K.SOUTH noma sana
=>Effector næ yumo itikadi east cost
 
Kisa sio pombe- ya mwasiti,tingisha jm0 na tid,bit nnalo likubal zaid kwa majan ni jonita na bbm ya r.i.p jamaa anaweza
 
Kisa sio pombe- ya mwasiti,tingisha jm0 na tid,bit nnalo likubal zaid kwa majan ni jonita na bbm ya r.i.p jamaa anaweza

sio pombe alinyonga p kumbe? joanita bonge la beat mwana
 
Pfunk sio kwamba beat zote za Bongo Records alitengeneza yeye
kuna kina Ludigo,marijani,bizman ambao walifanya kazi yeye akila sifa
 
Pfunk sio kwamba beat zote za Bongo Records alitengeneza yeye
kuna kina Ludigo,marijani,bizman ambao walifanya kazi yeye akila sifa

Nitajie beats walau 5 tu zilizohit kutoka bongo records ambazo hazokutengenezwa na p funk
 
Pfunk sio kwamba beat zote za Bongo Records alitengeneza yeye
kuna kina Ludigo,marijani,bizman ambao walifanya kazi yeye akila sifa

si alikua anawalipa? yaani walikua chini yake kawaajiri coz kazi zilikua nyingi kiasi asingeingiza kila kitu kwa kila wimbo peke yake ndo akatafuta msaidizi kama ilivyokuwa roy kwa master j. roy alikua anatengeneza mziki kule mj record kwa ali maua master j anamalizia kule masaki. huyu anatwngeneza beat mwingine anaingiza vocal na mixing. mia
 
Kiasi kwamba nikisikiliza huu mziki wa sasa napata kichefuchefu, ........abarikiwe p funk!
 
nyimbo karibu zote zilizotamba zamani zilikuwa zina mkono wake. Aiseee lets call him godfather wa bongoflava kweli
 
Back
Top Bottom