I love JF! I real enjoyed reading this thread one contribution after the other. Nilichojifunza;
1. Kuna mada ipo mezani na inatibua vitu ambavyo vimeshawahi kuwasilishwa na mmoja wa wanajukwaa hapo mwanzo.
2. Kuna wachangiaji ambao wanajadili hoja iliyopo mezani na kwa kufanya hivi wanasaidia sana kutoa elimu kwa wengine.
3. Kuna wachangiaji wengine kazi yao ni kuvuruga mjadala ilimradi tu wanayempenda wao aonekane ana watetezi. Kejeli na matusi ndiyo style ya uandishi wao.
Kama wasomi na watanzania tunaoipenda nchi yetu, ni vizuri kuifikiria nchi hii kwanza na vizazi vijavyo badala ya kuwaza kupata umaarufu usio hata na maana yeyote. Kusema uongo ili mradi tu lengo la mhusika litimie haitakiunganisha kizazi kijacho bali ni mbegu ya chuki ambayo itakigawa.
Tupendane sote sababu tuliowakuta walitufundisha upendo. Mijadala ya dini 'hainaga' mshindi.
Tafakari.