Nawaomba radhiwanajamvi na Prof Hirji kwa tafsiri isiyo rasmi. Hii ni kutaka mada ya Prof inayogusa sana, iwafikie wengi. Tutakapokuwa nje ya mstari, tunaomba kusahihishwa na makosa yoyote yaeleweke ni ya kibinadamu na wala hayakukusudiwa.
KVM;11934748]Beating the Drum on One Side: Confusing the Peopleon Both Sides Upigaji ngoma sehemu moja, kuwachanganya watu wa pande mbiliby Prof. Karim Hirji
The volume of historic detail in Mohamed Said'spaper, Tanzania: A Country without Heroes,is impressive. Little of thisinformation is known. Makabrasha yenye maelezo yakina ya kihistoria, ya mada za Mohamed Said: Nchi isiyo na mashuja, inavutia.Ni habari kwa uchache zijulikanazo
He makes a persuasive case that numerous individuals who made criticalcontributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partlyacknowledged or completely suppressed in the official, popular and evenscholarly discourse. Ana ushawishi kuwa wengi waliotoa mchango dhidi ya ukoloni nchini Tanzania, ima inaeleweka kidogo au kuondolewa kabisa, kwa umuhimu wake au kwenye mazungumzo ya kisomi
The October-2013 media stories around the 14th anniversary of the death ofMwalimu Nyerere exemplify that distortion of history. Oktoba 2013katika kumbu kumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere, vyombo vya habari vilitoa mfano wa upotoshaji wa historia
The overall theme was that he was not only the principal leader of the strugglefor Uhuru but also the sole architect of the ensuing developments. A balanced,factually sound, critical perspective was all but absent. Mada nzima si kuwa tu alikuwa ni kiongozi wa jitihada za uhuru lakini pia ni mwasisi pekee. Inaonekana kuwa katika mizania, lakini mtazamo wa uhalisia haukuwepo.
I concur that the written history of Tanzaniacontains significant omissions. That must be rectified. All our heroes deservedue publicity. Said focuses on Muslims, but others have been side-lined too. Nakubaliana kuwa historia ya Tanzania ina mapungufu. Hilo lazima lisahihishwe. Mashujaa wetu wote wanastahil ikutambuliwa. Said amejikita kwa waislam, wengine wakichwa pembeni vile vile.
Our children need a valid account of the path ournation has travelled. By marshalling an array of facts and utilizing keypremises, Said draws conclusions of profound implication for our future. Thus,his paper needs a thorough evaluation. I defer assessment of the details tohistorians. Instead, I assess the premises and conceptual process that generatehis conclusions. Watoto wetu wanahitaji maelezo ya njia taifa let ulilipopitia. Kwa kufinyanga ukweli katika vigezo muhimu, Said amefikiahitimisho lenye madhara kwa siku za baadaye
Hivyo, mada zake zinahitajitathmini.
Ninaacha tathmini ya maelezo ya kina kwa wanahistoria. Badala yake,ninaangalia vigezo na dhana iliyotoa hitimisho lake
I delve on methodology because
Nina tafiti kiuchunguzi kwasababu
1. the mode of reasoning he employs is commonplacetoday;Fikra alizotumia ni za kawaida kwa zama hizi
2. it also appears in race or gender themed papers;Zinajitokeza katika mada za jinsia narangi
3. his opponents use it too; and Wapinzani wake wanazitumia pia, na
4. an evaluation of this style of analysis is not onlynot undertaken but the necessity of doing it is also not appreciated. A flawedmethodology compromises the validity of the conclusions drawn.Tathmini ya aina ya mchakato si kuwa haikufanyika,lakini pia ulazima wa kufanya hivyo haukuwa timilifu. Tafiti zisizo tmilifu huchakachua thamani ya hitimisho
5.
My local illustrations are restricted to mainlandTanzania. That, however, does not affect the essence of my case. Maelezo yangu yamezuiliwa kwa Tanzania bara bila kuathiri maana niliyokusidia
The Premises and Conclusions
Vigaezo na hitimisho
A premise is an assertion that provides a frameworkfor an argument. Invoked without evidence, it is deemed an obvious truth. Everywriter utilizes a premise, yet, not all premises hold true. Commonly deployedpremises are often flawed; at times, they are fatally flawed. Kigezo ni dhamira inayotoa mtazamo wa hoja. Kinapowekwa bila ushahidi,huonekana kama ukweli mtupu.
Kila mwandishi hutumia vigezo,lakini si vigezo vyote vina ukweli. Vigezo vya kawaida mara nyingi hukosa utimilifu, na huwa na madhara.
We obtain a valid conclusion when coherent premisesare augmented with reliableevidence, and the case is constructed in a logical manner. When the premisesare flawed or inconsistent, the evidence is shaky or incomplete, and the logicapplied is dubious, the conclusions drawn become invalid. In practice, thelatter scenario is more common than the former one. Tunapata hitimisho panapo kuwepo na hoja zenye ushahidi, na hoja hujengwa katika mpangilio wenye kueleweka. Vigezo vinapokuwa si timilifu au visivyolinganifu,ushahidi huwa na utata au usiotimia, na mantiki inayotumika huwa kichekesho, na hitimisho lipatikanalo hukosa thamani. Kiuhalisia, hali tajwa ya ya mishohutokea zaidi kuliko ya awali(akimaanisha kukosekana kwa tahamani)
First, I state five premises I have extracted fromSaid's paper; some are given verbatim, and others are imputed or paraphrased. Kwanza, nimeeleza vigezo vitano nilivyochukuakutoka katika mada ya Said, vingine kama vilivyo na vingine vimefanyiwa marejeo
1. Authoritarian regimes generally distort nationalhistories. Tawala za kiimla huharibu hustoria za taifa
2. History is made not by one hero, but by a diversityof heroes. Historia haiundwi na mtu mmoja ispokuwa mchanganyiko wa mashujaa
3. Leaders in Africa fear heroes other than themselves.Viongozi wa Afrika huogopa mashujaa kuliko wanavyojiogopa
4. Religion is a primary driver of social change.Dini ni chanzo cha mabadiliko ya kijamii
5. Islam is a socially progressive religion whileChristianity is not.Uislam ni dini yenye mabadiliko ya kimaendele, ukristo siyo
Second, I state the principal conclusions drawn by Said. Pili, nimeeleza msingi wa hoja za hitimisho zilizotolewana Said
1. Muslims, not Christians, liberated Tanzania fromcolonial rule.Waislam na siWakristo ndio walioikomboa Tanzania
2. Muslim activists have been written out of theofficial history. Wanaharakati wa kiislam wamefutwa katika historia
3. The welfare of the Muslims in Tanzania has beensorely neglected. Hali ya ustawi wa kijamii wawaislam Tanzania umesuswa
4. The religious divide propels the socio-politicalaffairs in Tanzania. Mgawanyo wa imani unachangia hali ya kisiasa na kijamii Tanzania
5. Muslims no longer love and respect Nyerere the waythey did earlier.Waislam hawampendi na kumheshimu Nyerere kama walivyofanya awali
Inaendelaea...