Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,461
- 32,983
Lusungo,
Haya maswali unayoniuliza yote majibu yake yapo kwenye kitabu.
Haya maswali unayoniuliza yote majibu yake yapo kwenye kitabu.
Mimi nimeuliza, hebu jibu swali:
Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
Si kweli, hakuna chuo cha Kiislam Morogoro, kuna chuo cha Waislam Morogoro. Kumbuka hilo, ni Muslim University of Morogoro na si "Islamic" University of Morogoro. Hata kifupi chake ni MUM na si IUM.
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Well Nyakageni,
Bring here the reference including dates of those MoU of Agakhan and the like as you claim.
Hilo swali tunaliita Beating the Drum on One Side.Mimi nimeuliza, hebu jibu swali:
Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
Lusungo,
Haya maswali unayoniuliza yote majibu yake yapo kwenye kitabu.
Lusungo,
Kadi ya TANU ya Nyerere ni na. 1.
Lusungo,
Kadi ya TANU ya Nyerere ni na. 1.
Na Mwl Nyerere ndio muasisi wa TANU.
Lusungo,
Si lazima uniamini.
Soma tu uwe ujue historia ya wazee wangu ilikuwa hivi na hivi...
Uncle Abdul kadi yake ya TANU na. 3.
Uncle Abdul rafiki yake alikuwa Chief Kidaha Makwaia akimfanyia diner party nyumbani kwa Anti Mwamvua nk. nk. utapata picha ya maisha ya high society ya Kariakoo ya 1950s ilivyokuwa ikiishi...
Ikiwa utaona ni hekaya ni sawa tu.
Una haki ya kuamini kile unachoona kweli na kukataa uongo.
Ujinga ni 'hali' ya kuwa hujui jambo fulani...
So MTU hawezi kwenda kusomea hali ya kutojua kitu...
Ujinga hausomewi hivyo kuwa makini kujenga logic mama.
Sijuwi jibu lake.
Sasa ikiwa mtu anaandika MUM anaambiwa hiyo ni Muslims University of Morogoro, yeye anakazania ni Chuo cha Kiislam, kwa maana Islamic Universty huyo kama shule yake hajasomea ujinga kasomea nini zaidi?
Hijanijibu, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
Lusungo,
Hilo nimelieleza kwa kirefu katika kitabu na wengi wameumizwa na hilo.
Mimi nimesema yawezekana Nyerere alikuwa na fikra ya TANU toka Butiama lakini ile TANU ya New Street ni ya Abdul.
Wengi hawakupenda hili.
Lakini simlazimishi mtu kukubaliananami.
Sasa inakuwaje aliyeasisi asipate kadi nr.1?
Utasemaje TANU kaanzisha Sykes wakati front line anaonekana Nyerere?
Mkuu hapa inahitajika logic tu sio rejea za kitabu chako.
Tupe basi historia kidogo tufaidike, front-line kivipi? TANU iliasisiwa na akina nani, au ni Nyerere pekee?
Eti Nyerere aliwahi kukaa nyumbani kwa akina Sykes?